Leo ni Idd El Fitr Dunia nzima isipokuwa Tanzania

Leo ni Idd El Fitr Dunia nzima isipokuwa Tanzania

Huu ni upekee mwingine wa Taifa letu katika kuendesha Mambo.Leo Waisalam Dunia nzima wanasherehekea kummalizika kwa Ramadan!
Lakini hapa Tanzania mwezi haukuandama hivyo Idd ni kesho!
Idd Mubaraka!
Sio kosa lao bali la mwezi
 
Huu ni upekee mwingine wa Taifa letu katika kuendesha Mambo.Leo Waisalam Dunia nzima wanasherehekea kummalizika kwa Ramadan!
Lakini hapa Tanzania mwezi haukuandama hivyo Idd ni kesho!
Idd Mubaraka!
watanzania hawaabudu waarabu hawaangalii mwezi wa mwarabu uarabuni wanaangalia mwezi unaoandama Tanzania sio uarabuni
 
Acha kupotosha wapi mwezi umeonekana hapa TANZANIA? Kenya wao EID ni leo? Somalia, COMMORO nk acha unafiki. DINI YETU HAITAKI UNAFIKI.
FUNGENI AU FUNGULIENI KWA KUONA MWEZI.
Unafiki gani mkuu....Uganda,Kenya ,Rwanda mwezi umeandama lakini kwetu bado...!
 
Sijui hata unaongea Nini...hivi Mwezi ukionekana Rwanda,Kenya na Uganda bila Shaka hata Tanzania unaonekana labda kuwe na mawingu au Ukungu!@ Don
 
Elimu ya kuandama kwa mwezi ni elimu kubwa sana,

mpaka leo duniani wanazuoni bado wanabishana kipi kipo sahihi, lakini Quran imesema hivi funga au fungueni swaum ramdhan kwa kuuona mwezi. Kama hawajauona basi Insha Allah wakiuona watafungua.

Hata nchi za Oman na Saudia Rabia, mwezi ukiandama Saudia watu wa Oman hawafungi wa hawafungui, na Oman pia hivyo hivyo.
 
Back
Top Bottom