View attachment 488271
Leo ni Kumbukumbu ya kifo cha Tx Moshi William wa msondo ngoma Machi 29, 2017.
Marehamu Moshi William alifariki tarehe 29 Machi mwaka 2006 siku ya jumatano majira ya saa 3 asubuhi na kuzikwa siku hiyo hiyo katika makaburi ya Keko Machungwa.
Tarehe na siku ya kifo chake vimejirudia mwaka huu. Alitunga nyimbo nyingi lakini baadhi ya nyimbo zilizotia fora sana ni kilio cha mtu mzima, ndoa ndoana, kaza moyo na ajali.
Tx Moshi William ameacha pengo na kumbukumbu isiyosahaulika kwa wapenzi wa msondo na muziki wa dansi kwa ujumla hapa Tanzania na Duniani kwa ujumla.
RIP japo tangu utotoni nilikuwa sizipendi nyimbo zake, yani mdingi akiweka CD ya nyimbo zake nilikuwa nalaani kimoyomoyo
R.I.P TX MoshiView attachment 488271
Leo ni Kumbukumbu ya kifo cha Tx Moshi William wa msondo ngoma Machi 29, 2017.
Marehamu Moshi William alifariki tarehe 29 Machi mwaka 2006 siku ya jumatano majira ya saa 3 asubuhi na kuzikwa siku hiyo hiyo katika makaburi ya Keko Machungwa.
Tarehe na siku ya kifo chake vimejirudia mwaka huu. Alitunga nyimbo nyingi lakini baadhi ya nyimbo zilizotia fora sana ni kilio cha mtu mzima, ndoa ndoana, kaza moyo na ajali.
Tx Moshi William ameacha pengo na kumbukumbu isiyosahaulika kwa wapenzi wa msondo na muziki wa dansi kwa ujumla hapa Tanzania na Duniani kwa ujumla.
View attachment 488271
Leo ni Kumbukumbu ya kifo cha Tx Moshi William wa msondo ngoma Machi 29, 2017.
Marehamu Moshi William alifariki tarehe 29 Machi mwaka 2006 siku ya jumatano majira ya saa 3 asubuhi na kuzikwa siku hiyo hiyo katika makaburi ya Keko Machungwa.
Tarehe na siku ya kifo chake vimejirudia mwaka huu. Alitunga nyimbo nyingi lakini baadhi ya nyimbo zilizotia fora sana ni kilio cha mtu mzima, ndoa ndoana, kaza moyo na ajali.
Tx Moshi William ameacha pengo na kumbukumbu isiyosahaulika kwa wapenzi wa msondo na muziki wa dansi kwa ujumla hapa Tanzania na Duniani kwa ujumla.
Mama nipeleke kwa Baba haukuwa wa Moshi bali Muhidin Mwalimu Gurumo kiongozi. Baadaye alikuja kuuimba tena na Ally Choki ila sina hakika kama walifanikiwa kuingia studio kirekodi.R.I.P TX Moshi
Navikumbuka vibao vyako vikali kama vile mwanangu acha wizi ,mama nipeleke kwa baba na kilio cha mtu mzima
Nilianza kupata ufahamu enzi Za kina dudu baya,Kumbe tuna chart na Wajukuu zetu humu'[emoji12][emoji12]
Udogoni kwako tayari Matumizi ya CD yalikuwepo Bongo!
Mama alivyomtendea babaa ni vibaya sanaMam
Mama nipeleke kwa Baba haukuwa wa Moshi bali Muhidin Mwalimu Gurumo kiongozi. Baadaye alikuja kuuimba tena na Ally Choki ila sina hakika kama walifanikiwa kuingia studio kirekodi.
Nilianza kupata ufahamu enzi Za kina dudu baya,
Hapo vipi? Bado yanki?