chipaka.com
JF-Expert Member
- Dec 5, 2015
- 2,883
- 1,189
RIP kiongozi.,
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Aiseee kweli nakumbuka miaka ya zamani 80's kuna magari ya wazungu walikuwa Ma Expert kwenye kiwanda cha kuchakata Sukari Morogoro walikuwa na gari Plate Number zimeandikwa TX.Watoto wengi hawajui TX maana yake nini
View attachment 488271
Leo ni Kumbukumbu ya kifo cha Tx Moshi William wa msondo ngoma Machi 29, 2017.
Marehamu Moshi William alifariki tarehe 29 Machi mwaka 2006 siku ya jumatano majira ya saa 3 asubuhi na kuzikwa siku hiyo hiyo katika makaburi ya Keko Machungwa.
Tarehe na siku ya kifo chake vimejirudia mwaka huu. Alitunga nyimbo nyingi lakini baadhi ya nyimbo zilizotia fora sana ni kilio cha mtu mzima, ndoa ndoana, kaza moyo na ajali.
Tx Moshi William ameacha pengo na kumbukumbu isiyosahaulika kwa wapenzi wa msondo na muziki wa dansi kwa ujumla hapa Tanzania na Duniani kwa ujumla.
Huyo Mzee (RIP) na Diamond nani mkali?
Post zako nyingi zimejaa kejeli hasa kwa watu waliotangulia mbele za haki.jamii ya watu kama wewe hukata kauli miezi sita hadi kumi na mbili kabla ya kukumbwa na umauti.jaribu kupunguza kejeliRIP japo tangu utotoni nilikuwa sizipendi nyimbo zake, yani mdingi akiweka CD ya nyimbo zake nilikuwa nalaani kimoyomoyo
Aiseee kweli nakumbuka miaka ya zamani 80's kuna magari ya wazungu walikuwa Ma Expert kwenye kiwanda cha kuchakata Sukari Morogoro walikuwa na gari Plate Number zimeandikwa TX.
Yap Athuman Momba alifariki kitambo naye.
Ni kweli TX ilisimama ikimaanisha Tanzanian eXpatriate na huyu Moshi William alikuja Juwata Jazz Band (Msondo) kama expatriate kutoka Polisi Jazz Band. Kulikuwa na TX wa mpira pia marehemu Lillah Somari wa Simba SC akitokea CDA nadhani....
Kejeli ipo wapi hapo??? Kwahiyo kama nilikuwa sizipendi nyimbo zake ulitaka nidanganye kwamba nazipenda??? Kiazi kweliPost zako nyingi zimejaa kejeli hasa kwa watu waliotangulia mbele za haki.jamii ya watu kama wewe hukata kauli miezi sita hadi kumi na mbili kabla ya kukumbwa na umauti.jaribu kupunguza kejeli
hahahah sio yanki, dogolasi kabisaNilianza kupata ufahamu enzi Za kina dudu baya,
Hapo vipi? Bado yanki?
Walifariki Siku Moja na Father Nelly.
Aaah wacha zako wewehahahah sio yanki, dogolasi kabisa
hahaha tulia dogoAaah wacha zako wewe
Nilitaka kukuomba cheti, sema hamkawii kutoa kitu cha kuhatarisha amani... Ngoja nile bati tuhahaha tulia dogo
RIP MOSHI, MOSHI ALIKUA NA SWAGGA ZA VIJANA, ALIKUA AKIJIPENDA SANA, ALIKUA AKIPENDA KUVAAA MA-BUKTA YA VIJANA NA CHENI, NA MA-JEANS.. NYIMBO ZA MSONDO KWENYE ALBUM ZAO ASILIMIA 80 YEYE NDIO ALIKUA MTUNZI KIFUPI ALIKUA KICHWA...View attachment 488271