Leo ni Kumbukumbu ya kifo cha Tx Moshi William

Duh siku zinakwenda kweli mi nakumbuka kibao cha "TUMA"
 

Ivi huyu Momba nae alikufaga,,,nawependaga sana msondo
 
Kijana wake nilisoma nae class moja shule hya msingi, somebody Hassan
 
Asha mwanaself . Mwanamkiwa. Mungu awalaze wana msondo mahala pema. Moshi, Suleiman mbwebwe, Jumbe.
 

"Yakitokea mambo kama hayo usishangae,

Yakitokea mambo kama hayo, uvumilie" - Muhidini Mwalimu Gurumo.

RIP Gurumo
 
Kuna Kijana wake mmoja aliingia kwenye drugs. Ndiye huyo?
Sijui kama atakua ndo huyo au laaah, maana sidhani kama secondary aliendelea tena, baada ya kuachana shule ya msingi nilionana nae Mara 2tu hadi Leo hatujaonana nae tena
 
Ally mhoja kishiwa tx moshi tanzania.imebaki simulizi,rip,kuna nyimbo kali sana kama mama kanitupa,wosia wa mama,kiala chenja,ajuza,hatarii tupu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…