Leo ni kumbukumbu ya Kuzaliwa kwa P-Funk Majani, unakumbuka ngoma gani kali aliyoitayarisha?

Hizi ndo beat hatari Sana toka Kwa p funk majani...
1. Nampenda yeye...by mh.Temba Hii biti inatakiwa epewe tuzo
2. Wife Daz Baba ft Ngwair
3. Mwanza mwanza Fid q
4. Kisa demu Juma Nature
5. Mipango Man X ( baadaye akaiimbia bwana misosi Nitoje vipi)
 
Wasanii bila vipigo hawaendi ni kama ngo'mbe
 
Toa hela....Jaffarai ft AY

Hawatuwezi....N2N

Darubini kali....Afande sele

Niko busy......Jaffarai

Tingisha.....Jay moe n T.I.D

Unaweza panga ngoma 100 za P funk alafu ya mwisho kwako ikawa ya kwanza kwa mwingine...True legend of our game.
 
Toa hela....Jaffarai ft AY

Hawatuwezi....N2N

Darubini kali....Afande sele

Niko busy......Jaffarai

Tingisha.....Jay moe n T.I.D

Unaweza panga ngoma 100 za P funk alafu ya mwisho kwako ikawa ya kwanza kwa mwingine...True legend of our game.
Ni kweli majani ana nyimbo nyingi sana nzuri..nilisahau hawatuwezi ya N2N soldiers..
Hivi wimbo wa bang(Kama nimeupati) wa N2N..producer Ni Nani ?
 

Broke, drunken & abuser
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…