Leo ni kumbukumbu ya Kuzaliwa kwa P-Funk Majani, unakumbuka ngoma gani kali aliyoitayarisha?


P Funky himself

Heko sana mwamba
 
Bangi ukiivuta bila ya kuwa na stress wala njaa, this statement shouldn't be underrated.
Kiburudisho chochote ukikitumia huku umegubikwa na stress lazima kitakupelekesha vibaya.
 
Huyu jamaa ukitulia kusikiliza beats zake kama
nini mnatak by-pig black
Starehe-ferooz
Jahazi-daz nundaz
Nampenda yeye-temba
3bila-famili tmk

Unawezahisi siku hizi hakuna producers [emoji38][emoji38].
 

Kama unahitaji bangi ili utoe maamuzi magumu vuta-by the late jpm[emoji23][emoji23]
 
Tip Top Song kwenye Albam ya mb dog ya latifa na six in the morning ya c pwa
 
Mwamba ametup burudani kwa miongo kadhaa.

Huyu jamaa ametimiza wajibu wake wa kuwepo Duniani.


Hii ndio kutimiza ndoto sasa
 
Sio kwamba twende na Miso Missondo mpaka mwisho....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…