Leo ni kumbukumbu ya kuzaliwa Mtume na Nabii wa mwisho wa Soka

Huu ubishani siuelewi unakua kwa kigezo kipi utawezaje kumfananisha ronaldinho aliekaa kwenye peak misimu isiyozidi mitatu na mtu ambaye huu ni msimu wa 10 jina lake liko juu katika ulimwengu wa soka kama kigezo ni ballon dor mbona ronaldinho anayo moja na mwenzake 5 kama ni kubeba UEFA mbona ronaldinho kabeba 1 akati Messi kabeba 4 na zinaendelea kama ni magoli ya ufundi Messi kwake beki 3 au 4 ni uchochoro kama ni kucheza na nesta Messi anacheza na kina Thiago Silva na Ramos Ronaldinho ni entertainer Ila sio complete footballer as Messi
 
Mkuu bora umekuja kuwasaidia hawa watu.
 
Messi ana World Cup ngapi?
 
Messi ana World Cup ngapi?
Messi hana ni finalist tu wa world cup, Naona unatumia World Cup kama sababu ya kutotambua uwezo wa Messi Ila huwezi kuwa na kigezo cha kuwa na world cup pekee kuita mchezaji bora kuliko wengine Unamzunguziaje Khedira au Toni kroos au denilson wa brazil waliobeba World Cup wao je ni bora kushinda Messi? Jibu ni hapana, Kuwa mchezaji bora wa dunia Mara 5 sio bahati ndugu kama wanavobahatisha wachezaji wako bora kunyanyua world Cup.
 
Pele hakucheza Ulaya
Maradona hakubeba Champions League
Nesi hajabeba World Cup..

Happy Birthday Gaucho
Hivi mkuu mbona unamchukia sana King mda mwingi nakuangaliaga post zako unavyomponda King
 
Hivi mkuu mbona unamchukia sana King mda mwingi nakuangaliaga post zako unavyomponda King

huyu babu sijui ushamba,chuki au wivu....yeye kaona gaucho ndio mchezaji bora wakati hata kwenye greatest players of all time hayumo, top 20 pia hayumo! Huyu babu anazeeka vibaya jamani, alaf bado anakazania tu gaucho gaucho gaucho...huwa simuelewi kabisa ni bora akalee familia yake kuliko kuchafua jukwaa akhh katuchosha sasa
 
Reactions: PNC
Mpka time hii sjashuhudia mtu kama dinho au kwa vle enz za kina maradona na Pele sikuwaona dinho in mwisho wa matatizo hats mungu akinipa mtt kwa badae jna la dinho lazma lihuske coz alifanya niupende mpra all the time
 
Acheni kumfananisha Rinaldinho na watu wajinga wajinga, Gaucho akishika mpira hadi malaika wanashangilia,mbinguni kunakua ni siku ya mapumziko.

Msimfananishe Ronaldinho na watu wajinga wajinga.
 
Endeleeni kushabikia JINA hakuna anaewazuia kila mmoja na mawazo yake,
 
Acheni kumfananisha Rinaldinho na watu wajinga wajinga, Gaucho akishika mpira hadi malaika wanashangilia,mbinguni kunakua ni siku ya mapumziko.

Msimfananishe Ronaldinho na watu wajinga wajinga.

Hebu nionyeshe hapo yukwapi gaucho wenu? Na mmeshaletewa statstics. google now utaona ameambulia nafasi ya ngapi? Kama si ya 31 katika wachezaji 50 na?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…