PNC
JF-Expert Member
- Feb 3, 2015
- 8,106
- 14,353
Mwaka upi na UPI??[emoji13] [emoji13]mara mbili mfululizo.
tena uzuri wake akiwashinda wanasoka nyota wa ukweli ktk ulimwengu wa Soka.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mwaka upi na UPI??[emoji13] [emoji13]mara mbili mfululizo.
tena uzuri wake akiwashinda wanasoka nyota wa ukweli ktk ulimwengu wa Soka.
Gaucho ni mwanasoka mzuri lakini hakua consistent alichagua starehe na umaarufu wake ukapotea na kuzima kama mshumaa huwezi kumfananisha na Messi ambae anamaintain ubora wake siku hadi sikusi hilo tu...
hako kanesi hakajawahi kumpita Nesta na kwenda kufunga goli au kafunge goli Nesta akiwepo uwanjani.
na hakana World Cup, Copa America wala Grande Coppa Ribertadores
Huyu mzee Gang Chomba anazeeka vibaya ANAMUOGOPA MESSI kama ukoma sababu alimuadhibu UEFA kwenye kichapo cha 4:0Gaucho ni mwanasoka mzuri lakini hakua consistent alichagua starehe na umaarufu wake ukapotea na kuzima kama mshumaa huwezi kumfananisha na Messi ambae anamaintain ubora wake siku hadi siku
Mkuu umepata kitu cha arusha nini???ukifika sehemu kuna wanaume unapaswa kujitambulisha na kuamkia kwanza.
haki sawa hamuwezi kuipata kwa ujeuri hivyo.
You are not serious! Siyo kwa kiwango hicho! Very far away!Zile burudani zake mbona hata Jay Jay Okocha alikuwa anazipiga mara nyingi tu?
Sasa hayo magoli unayohubiri hapa, what's new about them? Was he the first guy to score a hat-trick in the soccer world? Kweli wewe umelewa mapenzi ya Gaucho. hakuna anayemponda Gaucho, ila ninyi watu wake mnamsifia kupindukia kwa kuwaponda 'baba zake' katika soka. In the context of professional football, Gaucho atawekwa kapu moja na wenzake na wengi watamzidi. Unamwona mungu-mtu katika soka labda ukijilinganisha na kiwango chako cha ugoko!In the
following match against Siena on 17 January 2010, Ronaldinho scored his first hat-trick for Milan when he converted a spot kick, scored
with a header from a corner and finished with a wonder goal from 20 yards out.
Kwa hiyo unaizungumziaje rekodi yake ya magoli? hana mpinzani duniani siyo?Unazungumzia rekodi zipi?
Fifa hawana kipimo cha kupima "ball control capability"! Data zao ni za magoli, dribbling, nk
Tafuta mwenyewe clips za huyu mfalme ujionee! Acha kabisa!!
Do you mean there is no one with such honors up todate?In 2005, he received international honors during the FIFA Confederations Cup and was also awarded with the Ballon d'Or.
Kwa judgement yenu hata mara milioni ataingia, because your minds are kinked alreadyHahaha watu wanamleta messi duu messi kwa dinho si anaingia mara mia wallah
Hatumsifu wala hatujawahi kumsifu kwa idadi ya magoli!Kwa hiyo unaizungumziaje rekodi yake ya magoli? hana mpinzani duniani siyo?
Huyu mzee Gang Chomba anazeeka vibaya ANAMUOGOPA MESSI kama ukoma sababu alimuadhibu UEFA kwenye kichapo cha 4:0
Huyu mzee Gang Chomba anazeeka vibaya ANAMUOGOPA MESSI kama ukoma sababu alimuadhibu UEFA kwenye kichapo cha 4:0
Huyo nesta na maldini walifanywa uchochoro na Walter pandian na roy makaay,sembuse messi!!
World Cup ataishia kuiangalia sitting room via runinga huyo mbilikimo mkia wa mbuziheh heh heh hakuwa Nesta siku ile, kumbe hata rekodi huzijui.
Nesta alikuwa ameshaondoka msimu ule.
ndio maana mmeambiwa kuwa mnaomponda Gaucho mmeanza kuangalia soka mwaka 2010.
Hv ni wap ninemtaja Nesta[emoji13] [emoji13]uzee SHIDA sanaheh heh heh hakuwa Nesta siku ile, kumbe hata rekodi huzijui.
Nesta alikuwa ameshaondoka msimu ule.
ndio maana mmeambiwa kuwa mnaomponda Gaucho mmeanza kuangalia soka mwaka 2010.
Do you mean there is no one with such honors up todate?
Hv ni wap ninemtaja Nesta[emoji13] [emoji13]uzee SHIDA sana
Hv ni wap ninemtaja Nesta[emoji13] [emoji13]uzee SHIDA sana
Nafikir utakuwa unamzungumzia King wa Soka duniani“He is the man that makes the difference between a team that plays well and another that is really memorable. He alone can decide one game.” — Frank Rijkaard