Leo ni kumbukumbu ya kuzaliwa Mtume na Nabii wa mwisho wa Soka

si hilo tu...
hako kanesi hakajawahi kumpita Nesta na kwenda kufunga goli au kafunge goli Nesta akiwepo uwanjani.

na hakana World Cup, Copa America wala Grande Coppa Ribertadores
Gaucho ni mwanasoka mzuri lakini hakua consistent alichagua starehe na umaarufu wake ukapotea na kuzima kama mshumaa huwezi kumfananisha na Messi ambae anamaintain ubora wake siku hadi siku
 
Huyu mzee Gang Chomba anazeeka vibaya ANAMUOGOPA MESSI kama ukoma sababu alimuadhibu UEFA kwenye kichapo cha 4:0
 
Huyo nesta na maldini walifanywa uchochoro na Walter pandian na roy makaay,sembuse messi!!
 
  • Thanks
Reactions: PNC
Unazungumzia rekodi zipi?
Fifa hawana kipimo cha kupima "ball control capability"! Data zao ni za magoli, dribbling, nk
Tafuta mwenyewe clips za huyu mfalme ujionee! Acha kabisa!!
 
In the
following match against Siena on 17 January 2010, Ronaldinho scored his first hat-trick for Milan when he converted a spot kick, scored
with a header from a corner and finished with a wonder goal from 20 yards out.
Sasa hayo magoli unayohubiri hapa, what's new about them? Was he the first guy to score a hat-trick in the soccer world? Kweli wewe umelewa mapenzi ya Gaucho. hakuna anayemponda Gaucho, ila ninyi watu wake mnamsifia kupindukia kwa kuwaponda 'baba zake' katika soka. In the context of professional football, Gaucho atawekwa kapu moja na wenzake na wengi watamzidi. Unamwona mungu-mtu katika soka labda ukijilinganisha na kiwango chako cha ugoko!
 
Unazungumzia rekodi zipi?
Fifa hawana kipimo cha kupima "ball control capability"! Data zao ni za magoli, dribbling, nk
Tafuta mwenyewe clips za huyu mfalme ujionee! Acha kabisa!!
Kwa hiyo unaizungumziaje rekodi yake ya magoli? hana mpinzani duniani siyo?
 
Hatumsifu wala hatujawahi kumsifu kwa idadi ya magoli!
Bali tunamsifu kwa namna anavyofunga magoli kunakuwa na "burudani component" ambayo huipati popote! Si jionee mwenyewe huko YouTube!
 
Huyu mzee Gang Chomba anazeeka vibaya ANAMUOGOPA MESSI kama ukoma sababu alimuadhibu UEFA kwenye kichapo cha 4:0
Huyu mzee Gang Chomba anazeeka vibaya ANAMUOGOPA MESSI kama ukoma sababu alimuadhibu UEFA kwenye kichapo cha 4:0

heh heh heh hakuwa Nesta siku ile, kumbe hata rekodi huzijui.
Nesta alikuwa ameshaondoka msimu ule.
ndio maana mmeambiwa kuwa mnaomponda Gaucho mmeanza kuangalia soka mwaka 2010.
 
Huyo nesta na maldini walifanywa uchochoro na Walter pandian na roy makaay,sembuse messi!!

taja mechi ambayo Nesi alimpita Nesta na kufunga au alifunga goli huku Nesta yupo uwanjani...?
 
heh heh heh hakuwa Nesta siku ile, kumbe hata rekodi huzijui.
Nesta alikuwa ameshaondoka msimu ule.
ndio maana mmeambiwa kuwa mnaomponda Gaucho mmeanza kuangalia soka mwaka 2010.
World Cup ataishia kuiangalia sitting room via runinga huyo mbilikimo mkia wa mbuzi
 
heh heh heh hakuwa Nesta siku ile, kumbe hata rekodi huzijui.
Nesta alikuwa ameshaondoka msimu ule.
ndio maana mmeambiwa kuwa mnaomponda Gaucho mmeanza kuangalia soka mwaka 2010.
Hv ni wap ninemtaja Nesta[emoji13] [emoji13]uzee SHIDA sana
 
Do you mean there is no one with such honors up todate?

sometimes he did things that I never saw anyone else do. When we’d be winning the game, we’d start to enjoy ourselves and he’d bring it all out.” — Deco
 
Hv ni wap ninemtaja Nesta[emoji13] [emoji13]uzee SHIDA sana

“There are not many players who can offer goal-scoring passes like he can. He is just marvellous. He is a rare case of an assist man who can provide the ball from anywhere.” — Rui Costa
 
Hv ni wap ninemtaja Nesta[emoji13] [emoji13]uzee SHIDA sana

“He is the man that makes the difference between a team that plays well and another that is really memorable. He alone can decide one game.” — Frank Rijkaard
 
Nafikir utakuwa unamzungumzia King wa Soka duniani
 
Back
Top Bottom