Leo ni kumbukumbu ya kuzaliwa Mtume na Nabii wa mwisho wa Soka

Leo ni kumbukumbu ya kuzaliwa Mtume na Nabii wa mwisho wa Soka

Moja ya wachezaji wa aina yake waliowahi kutokea ulimwenguni, Ronaldinho na Zidane sijawahi kuona mfano wao, hakuna cha Maradona wala Pele

Mimi huwa sipendi mtu anakuja hapa kumsifia mtu without evidence! Tunaomba takwimu za huyu mtu unaemsifia na za messi! Hatutaki ujanja ujanja hapa!
 
Mimi huwa sipendi mtu anakuja hapa kumsifia mtu without evidence! Tunaomba takwimu za huyu mtu unaemsifia na za messi! Hatutaki ujanja ujanja hapa!
Utakuwa umeanza kushabikia soka miaka ya 2010+ sio kosa lako pia umri
 
Moja ya wachezaji wa aina yake waliowahi kutokea ulimwenguni, Ronaldinho na Zidane sijawahi kuona mfano wao, hakuna cha Maradona wala Pele

Kama unazungumzia MAUNO na KUCHEKA CHEKA KA DEMU uwanjani ntakubaliana na wewe
 
Kwanza ni aibu mno kumpanga zidani na huyu mauno.afrika nzima na duniani kote wanamtambua zidani alikuwa mkali kinoma na si huyu misifa misifa
 
1...DIEGO MARADONA hakuna asiemjuwa
2...LEO ANDRES MESSI hata mtoto mdogo anamfahamu vizuri sana huyu kiumbe ni wa pekee ktk wachezaji
3...HAKUNA
4...ZIDANE, ALFREDO DE STEFANO,PELE,REDONDO,BECKENBAUER nk...
 
  • Thanks
Reactions: PNC
Dinho the master of entertainment!
Falsafa ya Dinho ni kuwa mpira ni burudani, na mashabiki wanahitaji burudani! Burudani siyo goli peke yake! Maana katika dk 90 goli linakuwa moja au mawili sasa dakika nyingine watu watafurahia nini?
Ingia you tube ukutane na clips za Dinho akimwaga burudani ya kufa MTU!
Hajawahi tokea "ball controller" chini ya jua kama Dinho!
Ukizungumzia wapachika mabao hapo Rinaldo, Messi nk wanaingia kwenye orodha, lakini kwa habari ya kuutawala mpira na kuuchezea utakavyo na kumwaga burudani ya kufa MTU kwa mashabiki, Dinho hana mpinzani!
 
Mimi huwa sipendi mtu anakuja hapa kumsifia mtu without evidence! Tunaomba takwimu za huyu mtu unaemsifia na za messi! Hatutaki ujanja ujanja hapa!
Ingia you tube mzee na click "the best of Ronaldinho". We andaa GB zako za kutosha maana hautabanduka! Kitakachokuondoa ni GB zako kuisha!
Kumbuka falsafa ya Dinho ni "Mpira ni burudani, na kuburudisha mashabiki ndio kipau mbele"
Kwa hiyo kama unataka rekodi ya magoli mangapi alifunga, hiyo siyo fslsafa yake! Magoli huleta furaha ya ushindi lakini si burudani! Goli linaweza kufungwa hata kwa mkono, au la kujifunga nk!
 
Kwa mbishi yeyote andaa GB zako kisha ingia you tube na clic " The best of Ronaldinho" utaletewa clips kibao kisha njoo hapa ulete mrejesho!
 
I see huyu kipa donaruma wa ac milan ni noma
 
Ingia you tube mzee na click "the best of Ronaldinho". We andaa GB zako za kutosha maana hautabanduka! Kitakachokuondoa ni GB zako kuisha!
Kumbuka falsafa ya Dinho ni "Mpira ni burudani, na kuburudisha mashabiki ndio kipau mbele"
Kwa hiyo kama unataka rekodi ya magoli mangapi alifunga, hiyo siyo fslsafa yake! Magoli huleta furaha ya ushindi lakini si burudani! Goli linaweza kufungwa hata kwa mkono, au la kujifunga nk!

Ha ha haaa mnatupotezea muda tu jamani, hii thread ilitakiwa mods waipotezee mbali badala yake tuanzishe ya DIEGO MARADONA NA MESSI maana hakuna la maana mnaloongea except mnamwaga sifa zake bila (facts) statistics yeyote inayoonyesha huyu jamaa ni kweli yupo juu zaidi ya EL DIEGO10s, LEO10s, ZIDANE, ALFREDO DE STEFANO,REDONDO na BECKENBAUER ???????

Sasa mimi nitakusaidia ndugu yangu najua mnaona aibu kuleta facts zake...google utampata huyo jamaa yeno AKA mauno kashika nafasi ya (31)...Maradona anaendelea na NO 1 then Messi
 
Kwa mbishi yeyote andaa GB zako kisha ingia you tube na clic " The best of Ronaldinho" utaletewa clips kibao kisha njoo hapa ulete mrejesho!

You tube nishaangalia kitanbo tena achana na hizo GB zako ni WI~FI....atasubiri saana na umri huo umeshamwendea na hakuna anachokifanya ni bora akastaafu angalau apate heshima
 
Happy Birthday Ronaldinho Gaucho
 
You tube nishaangalia kitanbo tena achana na hizo GB zako ni WI~FI....atasubiri saana na umri huo umeshamwendea na hakuna anachokifanya ni bora akastaafu angalau apate heshima
Basi utakuwa umeziangalia clip zake kwa kutumia MIWANI ya makengeza!
 
Back
Top Bottom