Leo ni kumbukumbu ya kuzaliwa Mtume na Nabii wa mwisho wa Soka

Leo ni kumbukumbu ya kuzaliwa Mtume na Nabii wa mwisho wa Soka

DINHO ni mkali nasubiri kwa hamu 2014 najua atakua karejea kwenye form yake ya kawaida hata kama haitokua 100% jamaa ashikapo mpila hua nafurahi

Utasubiri sana, sidhani kama hata kwenye kikosi atakuwemo.
 
Bwana Gang Chomba sina tatizo na mapenzi yako kwa Gaucho lakini usipotoshe watu kwa kusema kuwa Gaucho ndiye aliyeanzisha aina ya Mpira unaochezwa Barca.

Aina ya mpira wanaocheza Barca ndio falsafa yao ya miaka nenda rudi. Kwa hiyo pamoja na umahiri wa Gaucho, si yeye wala Maradona, Romario, Michael Laudrup, Hristo Stoichkov, Ronaldo de Lima, Guardiola, Messi wengineo waliopitia hapo waliifanya Barca icheze aina hiyo ya mchezo.
 
Bwana Gang Chomba sina tatizo na mapenzi yako kwa Gaucho lakini usipotoshe watu kwa kusema kuwa Gaucho ndiye aliyeanzisha aina ya Mpira unaochezwa Barca.

Aina ya mpira wanaocheza Barca ndio falsafa yao ya miaka nenda rudi. Kwa hiyo pamoja na umahiri wa Gaucho, si yeye wala Maradona, Romario, Michael Laudrup, Hristo Stoichkov, Ronaldo de Lima, Guardiola, Messi na wengineo waliopitia hapo waliifanya Barca icheze aina hiyo ya mchezo.
 
kwa sisi wakatalunya ndio style yetu ila Rijikaad ndie aliyetupa hamasa ya kushinda na kuchua vikombe lakini soka ya catalunya itabaki palepale we're the champion again (CL) la liga
 
Bwana Gang Chomba sina tatizo na mapenzi yako kwa Gaucho lakini usipotoshe watu kwa kusema kuwa Gaucho ndiye aliyeanzisha aina ya Mpira unaochezwa Barca.

Aina ya mpira wanaocheza Barca ndio falsafa yao ya miaka nenda rudi. Kwa hiyo pamoja na umahiri wa Gaucho, si yeye wala Maradona, Romario, Michael Laudrup, Hristo Stoichkov, Ronaldo de Lima, Guardiola, Messi wengineo waliopitia hapo waliifanya Barca icheze aina hiyo ya mchezo.

miaka yote walikuwa wapi basi kubeba makombe?
Mbona miaka hiyo ulioitaja na watu hao uliowajumuisha walifanikiwa kubeba Champions League Moja tu?
Kwa nini ujio wa mtakatifu huyu ndio ukafanya hata Barca kuanza kumvimbishia tena misuli Los Blancos?

uwe unabakiza na ya akiba.
 
Bwana Gang Chomba sina tatizo na mapenzi yako kwa Gaucho lakini usipotoshe watu kwa kusema kuwa Gaucho ndiye aliyeanzisha aina ya Mpira unaochezwa Barca.

Aina ya mpira wanaocheza Barca ndio falsafa yao ya miaka nenda rudi. Kwa hiyo pamoja na umahiri wa Gaucho, si yeye wala Maradona, Romario, Michael Laudrup, Hristo Stoichkov, Ronaldo de Lima, Guardiola, Messi na wengineo waliopitia hapo waliifanya Barca icheze aina hiyo ya mchezo.

Wapi nimesema St: Gaucho ndie alieanzisha aina ile ya mpira wa Barca?
 
Mwenyewe aliwahi kutanabaisha kuwa Baba yake ndie Idol wake

"Ronaldo for me was an idol, I was inspired by him in everything. Thanks to him Brazil was recognised in Europe" - Ronaldinho i.e. 'Little Ronaldo' < Ronaldinho: I'm Sad At Ronaldo's Retirement As He Was My Idol - Goal.com> Cf.< Ronaldinho confiesa que admira a Ronaldo | terra>

brazil-ronaldo-ronaldinho.jpg

Belated Happy Birthday Nabii wa Soka Uliyemuandalia Mapito Masihi wa Soka!
 
Gaucho alikuwa OK lakini angecheza kwenye generation moja na Messi angekuwa second or third fiddle kama alivyo Ronaldo sasa.

Messi ni habari nyingine bwana.
 
Gaucho alikuwa OK lakini angecheza kwenye generation moja na Messi angekuwa second or third fiddle kama alivyo Ronaldo sasa.Messi ni habari nyingine bwana.
Unachojaribu kufanya wewe ni kufananisha mwanga wa Jua na Mwanga wa Tochi...umeambiwa Dinho ni Mtume na Nabii wa mwisho wa Soka...Huyo Nesi abebe kwanza Wordcup.
 
miaka yote walikuwa wapi basi kubeba makombe?
Mbona miaka hiyo ulioitaja na watu hao uliowajumuisha walifanikiwa kubeba Champions League Moja tu?
Kwa nini ujio wa mtakatifu huyu ndio ukafanya hata Barca kuanza kumvimbishia tena misuli Los Blancos?

uwe unabakiza na ya akiba.

Kwa hiyo kwako wewe kombe ni Champions league peke yake, kwa taarifa yako Barca walichukua kombe la Ulaya kwa mara ya kwanza mwaka 1992 (kipindi hicho lilikuwa linaitwa European Cup). Pamoja na kuchukua European Cup/Champions league mara 4, Barca wamechukua La Liga mara 21, Copa Del Rey mara 26 (ambayo ni rekodi), UEFA Cup winners Cup mara 4 (pia ni rekodi).

Ronaldinho alichezea Barca kuanzia 2003 hadi 2008 na walichukua Champions league MARA MOJA TU (2006) basi! Hakuna anayebisha kwamba Dinho ni mmoja wa wachezaji mahiri kabisa kupata kutokea lakini usimfanye kama yeye pekee ndiye aliyeleta mafanikio kwa Barca!
 
Wapi nimesema St: Gaucho ndie alieanzisha aina ile ya mpira wa Barca?

RONALDINHO MADE BARCA...BARCA MADE MESSI...
Kisha Dinho the Saint akatua na kwenda kuiumba Barca hii ambayo leo hii inasifika na kuna watu wanatukuzwa pasipo kujuwa msingi wa Barca hii ya Sasa uliwekwa na akina nani.
Dinho akiwa Barca anakutana na Samuel Eto'o na Deco de Souza ambao kwa pamoja wanaanzisha kile kilichoshindikana na Louis Enrique, Louis Figo na Patrick Kluivert.
Hatimae Barca inakuwa timu ya kubeba Vikombe.
Akiwa Barca anafanikiwa kubeba Makombe mengi na kuufanya mchezo wa Soka kupendwa zaidi kutazamwa endapo tu yeye atakuwepo uwanjani.

There you have it.
 
Mkuu umeambiwa MT Gaucho, Deco na Eto'o kwa pamoja ndio walioanzisha kile kilichoshindikana...hapo walitajwa watu watatu...so usinilishe maneno kuwa Mt Dinho pekee ndie alieanzisha
 
Mkuu naomba usiniharibie siku muhimu kabisa katika maisha yangu...plz
Naomba tuheshimiane.
ni kama dinho ndio alitengeneza mipira anaufanya mpira vyovyote atakavyo.dinhoooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooo
 
Huyo ni MTUME wa Soccer, MUNGU wa soccer huyu hapa

267903hp2.jpg

Hapa akiwa ameandika rekodi nyingine ya kuzifunga timu zoooote zinazoshiriki ligi ya Hispania ndani ya msimu mmoja.
 
Unachojaribu kufanya wewe ni kufananisha mwanga wa Jua na Mwanga wa Tochi...umeambiwa Dinho ni Mtume na Nabii wa mwisho wa Soka...Huyo Nesi abebe kwanza Wordcup.

Kama issue ni kubeba World Cup na champions league basi tulie uambiwe bwana mdogo

Gerald Pique
Man U (League Cup)
Spain (World Cup)
Barca (UCL)

Thierry Henry
Arsenal (League)
France (World Cup)
Barca (UCL)

Fabien Barthez
Man U (League)
France (World Cup)
Marseille (UCL)

wapo zaidi ya 40, kwa hiyo woote hao ni Mitume na Manabii......umeliwa. Huyo meno nje atasubiri sana kwa Messiah. Sura ngumu kama World Cup. Kingekuwa ndio kigezo usingekuta George Weah amekuwa Super Star kwani timu yake achilia mbali kushinda, hata kucheza World Cup Finals haijawahi
 
[h=1]Leo Messi's record-breaking run continues; becomes first player to score against 19 opponents consecutively[/h]
The goal he scored this Saturday against Celta makes him the first player to ever score against 19 consecutive teams in La Liga

Messi now has 42 goals in the competition, and he's the clear favourite for the Pichichi award

2013-03-30_CELTA-BARCELONA_31.v1364670657.JPG

No one can stop him. This Saturday against Celta the FC Barcelona forward set another record as he became the first player to ever score against all 19 top flight teams consecutively.

29 goals in 19 matches

Osasuna (four goals), Zaragoza, Levante, Athletic Club, Betis, Atlético Madrid, Granada and Rayo Vallecano (two goals respectively) and Mallorca, Valladolid, Espanyol, Málaga, Real Sociedad, Valencia, Getafe, Madrid, Deportivo and Celta (one goal) have all conceded to Leo Messi this season. Celta, a team that only conceded once to Messi - in the 2006/07 season - were unable to stop the Argentine this afternoon as they became the 19th team to succumb to the four-time Ballon d'Or winner.

Up until today, Cristiano Ronaldo was the only player to score against all league opponents in one season. However, Messi’s the first to do it by scoring in consecutive games.

Goals worth their weight in gold

Messi’s 29 goals in Barça’s last 19 league matches are proof of the Argentine’s excellent form this season. In addition, Tito Vilanova’s men are atop the table with a comfortable lead over Real Madrid, who are second. Messi’s goals have also made him the favourite for the Pichichi award. He currently has 42 goals to Cristiano Ronaldo’s 27, who is second.
 
ni kama dinho ndio alitengeneza mipira anaufanya mpira vyovyote atakavyo.dinhoooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooo

Na kwa kuwa Barcelona ni wajinga wakamuuza na sasa ni wengine ndio wanafaidika. Wao wamebakiwa na wachezaji wa hali ya chini kiasi timu inakaribia kushuka daraja. Kweli Barca hawana akili hata kidogo
 
Back
Top Bottom