Mangwea alikua mtaalam sana wa freestyle!Nakumbuka alipewa maiki akaanza kufreestyle....naitwa ngwea, mimi ndio niliowafunza samaki wote kuogelea...
Kuanzia siku hiyo nilimpitisha na mpaka sasa kwenye list yangu ya MCs wakali kuwahi kutokea bongo Mangwea ndio namba moja.
Vp Mangwea alikuwa anamfikia noorah aka baba stylesNakumbuka alipewa maiki akaanza kufreestyle....naitwa ngwea, mimi ndio niliowafunza samaki wote kuogelea...
Kuanzia siku hiyo nilimpitisha na mpaka sasa kwenye list yangu ya MCs wakali kuwahi kutokea bongo Mangwea ndio namba moja.
Noorah alikuwa mwepesi sana kwa level za Ngwea.Vp Mangwea alikuwa anamfikia noorah aka baba styles
Ngoma pendwaa, [emoji6][emoji6][emoji6][emoji6]Una hatari xna coca!