Leo ni kumbukumbu ya the late Albert Mangwea

Leo ni kumbukumbu ya the late Albert Mangwea

Poker

JF-Expert Member
Joined
Oct 7, 2016
Posts
5,445
Reaction score
14,828
Tuchukue dakika moja kukaa kimya kumkumbuka kipenzi chetu Albert Mangwea. Ni kibao gani ulikipenda sana kutoka kwake! Mimi nilikipenda nipeni dili!
20220528_093030.jpg
 
Nakumbuka alipewa maiki akaanza kufreestyle....naitwa ngwea, mimi ndio niliowafunza samaki wote kuogelea...

Kuanzia siku hiyo nilimpitisha na mpaka sasa kwenye list yangu ya MCs wakali kuwahi kutokea bongo Mangwea ndio namba moja.
 
Vp Mangwea alikuwa anamfikia noorah aka baba styles
 
Na mama usijali ipo siku nitakuja kukujengea mjengo
Iwe kwa kuuza huu mziki,drugs au meno ya Tembo
Kabla sijasoma mazengo,nishapinda, Mimi SI mgeni wa warembo so hii vita nitaishinda
Na masnitch tutaishia kuonana kwa TV
Kwani kujuana sana ndo kuharibiana CV.
ALBERTO
 
Back
Top Bottom