LEO NI LEO

LEO NI LEO

Candela

JF-Expert Member
Joined
Aug 12, 2021
Posts
817
Reaction score
2,180
Ebana nimeamka nimekuta wife kapika maharagwe, nkayala supu, mchana kapika nyama nikamshauri tule supu akakubali. Now ni usiku kapika ugali ananishauri tuule bila mboga.
 
Back
Top Bottom