Leo ni Leo

Leo ni Leo

Giggs wa MANU amepata
 
Kipa wa Man kaokoa moja
 
MANU mabingwa wa FA Cup 4-1
 
hahahah TOT wamekosa kombe kwa bahati mbaya anyway it was Man U day penalt hazina ujuaji!! Hongereni Manure Utd
 
Matuta nayo huwa hayatabiriki sana...anyway mpira unadunda lakini...
 
HHeee hheeee wamebana, wakabana, mwishowe wakaachia! Hongera man utd, kombe la kwanza kati ya manne hilooo!
 
Back
Top Bottom