Leo ni mechi kati ya man u vs fulham

MULANGILA

Member
Joined
Mar 20, 2012
Posts
20
Reaction score
3
Habari wana JF, jioni ya leo kutakuwa na Mechi kati ya Man U ikipambana na timu ya Mwarabu,Fulham. Wana Man u tuiombee timu yetu ili tuzidi kuiacha Man City........NAWASILISHA
 
uzuri wa manu ni kwamba huwa hawafanyi makosa ya ovyo, fulham lazima wafe
 
leo inabidi man utd tufanye kweli,kwani stoke city juzi wame2saidia sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…