Leo ni mechi muhimu kwetu ugenini katika Viwanja vya Majaliwa ligi kuu NBC Premier Mashujaa FC vs Namungo FC tunachukua pointi tatu

Bachelor ll

JF-Expert Member
Joined
Dec 15, 2019
Posts
4,106
Reaction score
6,678
Leo tunacheza mechi Ugenini Ktk Viwanja vya Majaliwa tunakwenda kushinda magoli 2 bila kila mechi kwetu ni muhimu licha ya kuwa Nyumbani kwa Namungo ila tunashinda mechi ya leo.

“Uchungu wa Mwana aujuaye Mzazi” Uchungu wa Mashujaa ni wetu tunakwenda kuongoza ligi kuu Tanzania bara kwa kuchukua pointi Tatu mbele ya Namungo fc ndani ya Viwanja vya Majaliwa Msimamo wa ligi kuu Mashujaa fc tupo nafasi ya NNe tunakwenda nafasi ya kwanza kule kwenye Baridi kali.

Dua zetu na sala zetu Mashabiki nguvu yetu Umoja na Ushirikiano ni Silaha ya mafanikio kwetu Mechi ya Ugenini lazima tushinde Afe back Afe kipa point tunachukua Wazee wa kigoma wanasema goli 2 tunashinda.

Hii mechi ni muhimu kwasababu point ni lazima tuzichukue mapema mzungumko wa kwanza inaitajika kuchukua pointi 40 na zaidi iliujihakikishie kutoshuka daraja Ikifikia mzunguko wa pili tukatafute pointi 35 na zaidi kujiweka hatua nzuri Ktk ligi kuu NBC premier league 2023/2024 nilazima kushinda na kupata pointi za kutuweka Salama.

“Watakiona Cha Mtema kuni” kwao Ruangwa ktk Uwanja wa Majaliwa kwao ni kama kwetu tu.

Ukipenda Unafungwa Usipopenda Utafungwa tu pointi Tatu kwetu.

kila Mwana kigoma Uzalendo kwanza Mashujaa fc ndio habari ya Mkoa wa Kigoma.

MapigonaMwendo

Hamasa Mashujaa fc.

IMG-20230930-WA0005.jpg
IMG-20230930-WA0006.jpg
 
Kila lakheri vijana. Wekeni defense kali. Kwakua wanawachukulia poa, hiyo ndio weakness yao.

Kipindi cha kwanza wekeni sana defense hafu cha pili anzeni attack.

#ovawatanisikiliza
 
Ngoja tuone maana nimeshampa visent vyangu Namungo FC, na nategemea hiyo Game kuiangalizia Bar huku nikisubiri matokeo ya 1HT/1FT ku'clear Bill.
 
Leo tunacheza mechi Ugenini Ktk Viwanja vya Majaliwa tunakwenda kushinda magoli 2 bila kila mechi kwetu ni muhimu licha ya kuwa Nyumbani kwa Namungo ila tunashinda mechi ya leo.

“Uchungu wa Mwana aujuaye Mzazi” Uchungu wa Mashujaa ni wetu tunakwenda kuongoza ligi kuu Tanzania bara kwa kuchukua pointi Tatu mbele ya Namungo fc ndani ya Viwanja vya Majaliwa Msimamo wa ligi kuu Mashujaa fc tupo nafasi ya NNe tunakwenda nafasi ya kwanza kule kwenye Baridi kali.

Dua zetu na sala zetu Mashabiki nguvu yetu Umoja na Ushirikiano ni Silaha ya mafanikio kwetu Mechi ya Ugenini lazima tushinde Afe back Afe kipa point tunachukua Wazee wa kigoma wanasema goli 2 tunashinda.

Hii mechi ni muhimu kwasababu point ni lazima tuzichukue mapema mzungumko wa kwanza inaitajika kuchukua pointi 40 na zaidi iliujihakikishie kutoshuka daraja Ikifikia mzunguko wa pili tukatafute pointi 35 na zaidi kujiweka hatua nzuri Ktk ligi kuu NBC premier league 2023/2024 nilazima kushinda na kupata pointi za kutuweka Salama.

“Watakiona Cha Mtema kuni” kwao Ruangwa ktk Uwanja wa Majaliwa kwao ni kama kwetu tu.

Ukipenda Unafungwa Usipopenda Utafungwa tu pointi Tatu kwetu.

kila Mwana kigoma Uzalendo kwanza Mashujaa fc ndio habari ya Mkoa wa Kigoma.

MapigonaMwendo

Hamasa Mashujaa fc.

View attachment 2767141View attachment 2767142
Ule uchawi wa Kigoma ujiji ukawasaidie ukiangalia golini waone nyau 😊
 
DROO YA UGENINI KWETU NI ZURI MASHUJAA FC 0 VS NAMUNGO 0 WAMEWEZA KUZUIA KASI YETU YA MAPIGO NA MWENDO TUNAJIPANGA NA MECHI INAYOFATA…..

Leo tumetoka bila kufungana goli Ktk Uwanja wa Majaliwa Ruangwa baada ya kutoka Droo bila magoli.

Nina wapongeza Namungo fc kwa kuweza kuzuia Mapigo na Mwendo kupata Droo Unapokutana na Mashujaa fc lazima Ufungwe ni bahati kwao……

Nina toa shukrani za dhati kutoka moyoni kwa Wachezaji wa MASHUJAA FC kwa Mchezo Mzuri, Benchi la Ufundi, Viongozi wa mashujaa fc, Chama cha soka mkoa wa kigoma(KFA) na kamati ya hamasa kwa kazi kubwa maandalizi ya mechi yetu tumecheza Mpira mzuri tumekosa bahati ya kushinda tumetemgeneza nafasi nyingi ninaamini kocha atafanyia kazi mapungufu.

Ninatoa shukrani kwa Wadau wa Mpira na Waandishi wa habari kwa kuitangaza timu yetu Morari ya mashabiki kushangilia Muda wote wakati mpira unachezwa Unaona rahaaa.

Nawatakiwa hamasa njema.
 
  • Thanks
Reactions: K11
Back
Top Bottom