Bachelor ll
JF-Expert Member
- Dec 15, 2019
- 4,106
- 6,678
Leo tunacheza mechi Ugenini Ktk Viwanja vya Majaliwa tunakwenda kushinda magoli 2 bila kila mechi kwetu ni muhimu licha ya kuwa Nyumbani kwa Namungo ila tunashinda mechi ya leo.
“Uchungu wa Mwana aujuaye Mzazi” Uchungu wa Mashujaa ni wetu tunakwenda kuongoza ligi kuu Tanzania bara kwa kuchukua pointi Tatu mbele ya Namungo fc ndani ya Viwanja vya Majaliwa Msimamo wa ligi kuu Mashujaa fc tupo nafasi ya NNe tunakwenda nafasi ya kwanza kule kwenye Baridi kali.
Dua zetu na sala zetu Mashabiki nguvu yetu Umoja na Ushirikiano ni Silaha ya mafanikio kwetu Mechi ya Ugenini lazima tushinde Afe back Afe kipa point tunachukua Wazee wa kigoma wanasema goli 2 tunashinda.
Hii mechi ni muhimu kwasababu point ni lazima tuzichukue mapema mzungumko wa kwanza inaitajika kuchukua pointi 40 na zaidi iliujihakikishie kutoshuka daraja Ikifikia mzunguko wa pili tukatafute pointi 35 na zaidi kujiweka hatua nzuri Ktk ligi kuu NBC premier league 2023/2024 nilazima kushinda na kupata pointi za kutuweka Salama.
“Watakiona Cha Mtema kuni” kwao Ruangwa ktk Uwanja wa Majaliwa kwao ni kama kwetu tu.
Ukipenda Unafungwa Usipopenda Utafungwa tu pointi Tatu kwetu.
kila Mwana kigoma Uzalendo kwanza Mashujaa fc ndio habari ya Mkoa wa Kigoma.
MapigonaMwendo
Hamasa Mashujaa fc.