Leo ni Mei Mosi, tujiulize wote watumishi wa Umma: Ni nani alianzisha "Kikotoo" na ni nani wa kukiondoa?

Rais Samia hata yeye inamuumiza sana habar ya hiki kikokotoo, ukirejea hotuba yake nadhani baada ya uapisho wa viongozi. Unaona kabisa hapendi ila sema hali ya mifuko ndo imekuwa mbovu zaidi.

Uwekezaji waliofanya ni wa hovyo, ufisadi unaofanyika huko, ukopeshashi kiholela na serikali yenyewe kushindwa kulipa madeni katika mifuko hiyo.

Binafsi, nimuombe rais alivalie njuga hili suala kwa yafuatayo
1. Serikali yake ianze kutoa kipaumbele kulipa hii mifuko fedha zote wanazo dai. Walau deni liwe chini ya kiwango cha ustahimilivu.

2. Taasisi zote ama watu waliokopa kwenye hii mifuko nao wapewe muda mfupi wa kurejesha hasa wale waliokuwa halipi kabisa.

3. Kufanya ukaguzi kwenye uwekezaji wote uliofanywa na hii mifuko. Timu ya wataalam ikague na kutoa mapendekezo stahiki uwezekana wa kupata hizo returns

4. Kuwachukulia hatua kali viongozi kutokana na ufujaji wa fedha, maamuzi mabaya ya uwekezaji.

5. Kuwe na maeneo maalum ya kufanya uwekezaji wenye tija na sio vichaka vya watu kupitishia hela huko na kuzizika ionekana uwekaji haujalipa. Hizi fedha hatuhitaji kubahitisha kwenye kufanya uwekezaji. Nchini bado kuna fursa kubwa sana za uwekaji achilia mbali hata kwa nchi jirani.

6. Makampuni ambayo hayajalipa gawio kwa muda mrefu huo ni uwekazji mbovu bila kujali kama ni huduma gani, maadam kwenye hiyo sekta hawapo wenyewe ni heri kurudisha mtaji walau hata 60%.

7. Hii mifuko ijitahidi kutoa elimu na kusajili watu wengi zaidi kupitia sekta binafsi za mtu mmoja mmoja na kuwa na manufaa yanayojibu changamoto zao.” Customized benefits”
 
Haya
 
Attachments

  • IMG-20240501-WA0020.jpg
    IMG-20240501-WA0020.jpg
    33.6 KB · Views: 2
  • IMG-20240501-WA0021.jpg
    IMG-20240501-WA0021.jpg
    42.2 KB · Views: 2

Kama kweli anaumizwa akiondoe haraka
Mamlaka anayo kisheria kikatiba na kikanuni lakini pia kimamlaka
 
Back
Top Bottom