LEO ni Miaka 15 ya Dhahabu ya damu’ ya Bulyanhulu

LEO ni Miaka 15 ya Dhahabu ya damu’ ya Bulyanhulu

tusiposimamia haki zetu tume kwisha serikalini hakuna mtetezi
sasa imefikia wakati watanzania tu na sauti moja kwa kila mauaji yanayofanyika
nchi, iwe ni serikali, mwekezaji au kundi la watu au kampuni
na hii ndio njia pekee ya kulinda haki na utu wetu
lakini kama tutakuwa tunashuhudia watu wanauawa kwa sababu tu sio ndugu zetu tunakaa kimya
wengine tutamalizwa
kwa kadri tunavyosimama mmoja mmoja ndivyo hawa dubu wanapata nduvu ya kutuparua na kutuanzamiza
 
Tanzania siku zote inajua kuwa mplaestina tuu ndiyo mwenye kudai haki, na nchi hii iko tayari kutukama myahudi popote pale. Lakini haki za msingi za raia wake ambazo zinaumma sana kuliko swala la wapalestina tanzania haijui na wala haitaki kusikia, kwa nn?.

Kupoteza raia 52 katika machimbo kwa namna ya umwamba umwamba sio kitu cha kukalia kimya. Wewe ona hata walipouwawa raia tisa tuu wa kituruki wahuni na wauza bange waliokataa kutii amri ya jeshi la Israel, nchi yetu ililaaani sana kitendo kile na kumlaumu myahudi.

Sasa kulikoni kwa raia zake wenyewe huko blyankulu?
 
Tumekuwa watumwa ktk nchi yetu wenyewe, Tanzania ya Maziwa na Asali imegeuka kuwa jangwa la ukeme na njaa. Tunahitaji kujiinua, tujitambue na kuuuthamini utu wetu, viongozi wetu wametuvua nguo na kutuacha uchi, hatuna nguo, tunaona aibu hata kutoka nje ya vibanda vyetu vya udongo na nyasi kudai haki zetu kwa sababu tu uchi. Tunahitaji kuamka na kuelimishana ili tuweze kuwa huru kweli. Tanzania si huru ndugu zangu bado tunatawaliwa kifikra na kiuchumi, tena utumwa huu ni mbaya kuliko ule mkongwe. We need to rise and say NOOO!! to this its enough already
 
Umenikumbusha machungu aliyonisababishia Tundu Lissu alipokuwa analizungumzia swala hili pale UDSM 2007.
IKO SIKU.
 
kikombe cha dhambi na maovu cha chama na serikali sasa kimejaa huu ni muda wa kutoa hukumu lakini wananchi bado tumelala
 
Inatia hasira,simanzi na uchungu. Ipo siku wote waliotenda uhalifu huu watafikishwa mbele ya vyombo vya sheria,wawe hai ama wamekufa!
 
Ningeomba sana Mbunge au Diwani wa sehemu hii kufanya sherehe ya maadhimisho ya siku hii kila mwaka ili kuwakumbusha wananchi adha za ukoloni mamboleo ambao hauna rangi wala kabisa...
 
Ningeomba sana Mbunge au Diwani wa sehemu hii kufanya sherehe ya maadhimisho ya siku hii kila mwaka ili kuwakumbusha wananchi adha za ukoloni mamboleo ambao hauna rangi wala kabisa...

hana ubavu? barrick wanapesa kaka na sisi hatuna uzalendo, watu wameingia kwenye siasa kujikwamua kiuchumi, ila ni wazo zuri
 
R.I.P. Tunaamini ipo siku isiyo na jina Mwenyezi Mungu mwingi wa rehema atapitisha hukumu yake. Inasikitisha sana kuona viongozi wetu kwa ajili ya kulinda vibarua vyao wanadiriki kuficha ukweli. Hiyo ni kwa sababu watoto wa wenzao ambao ni walalahoi haiwahusu! Ingekuwa imewatokea mmoja wa wanafamilia za vigogo ndio tungeshuhudia timbwilitimbwili la aina yake maana hadi mawe yangepelekwa Segerea!
 
A poem by the isms




PRAISE OF THE BULYANHULU:

Once we were told of the Shing’weng’we​
We never thought it would be you, Bulya.​
Blown our minds with the worst nightmares​
And enormous fierce day dreams​
At your welcome party you swallowed​
Our thousand energetic, innocent and poor indigenous kinsmen​
To us, you brought a thick layer of poverty​
Whilst grant us a gift of their bones grinded chalks​
By the bulldozer, the surface sweeper​
And the iron welded bloom​
Spear-headed by our idiot, ignorant kinsmen​
You mean nothing to us, and that is what you are​
You ignored the accusation of stealing the souls of our brethren​
Blinded us by repairing a pseudo-gravel road​
To Korogwe​
And a couple of unfulfilled sweet promises​
For your ticky hundred years in my motherland​
By blackmailing our careless contract holders​
Along the golden belt you are, is where our mute ancestral spirits lay​
Who fought for the same red-coloured dust​
The dust that blinds our eyes​
That grants us a gift of endless dry cough​
That kisses our diaphragm with a beautiful pneumonia​
At the corner near the shore you lay​
The shore of the great beautiful lake​
The lake that was baptized after the name of the queen​
The queen of the industrialization era, of the mid-Victorian​
The age that gave to them the name great Britain​
Yes, I see you, just with endless lights​
And the smoking chimneys and the roaring plant machines​
After hours of my journey from Korogwe​
Welcomed by the mushrooming dust of the red soils​
The dust that has eagerly destroyed our life span​
Looking up the blue skies, without even the nimbus​
And the shining stars with the beautiful full moon​
In the mid-night polluted air by the chocking smokes smell​
And the alarming crazy motor cars and noises of drunkard men​
The professional alcoholists and sexually administrated “pussy”​
Accompanied by the plant machines; the non-stop producers​
The dead enthusiastic teenagers board buses to the site​
Others to the centre; for an hour of rest and seven for liquor​
To relax of the fierce deadly underground walls​
Red-eyed with a pidgin of decayed manner​
Drunkards, smokers and snuffers​
Desperate for overwork, underpay and valueless for their poverty​
The morning singing birds and the zoom of adulterers awake us​
The so called workers take the staff busses, and we, the daladalas​
To the main gate to wait for the call of “Manyani”​
We take caution money, for the system is “give to be given”​
Job given is to I, so new and I don’t know Afrikaana​
Then they chase me away like a homeless bush-dog around the pit​
I march to the labour office, but they are bought too​
I work to the underground and paid low due​
I slapped by the kabourou, I work with no rest, I go to the labour office​
Says he; is busy, and so I suffer;​
In the underground of no sunshine and air​
In the poisonous gas and endless blasts​
In the ground full of carcasses and death at hand​
Oh! Bulya, in your huge stomach we all lay,​
The stomach that swallows a million people, by once or shift​
We drill your ribs to pave the way deeper​
We blast your stomach to get ourselves out​
We flash your ileum, but never say you, nay​
We crook till you die and leave us in misery​
A cage, to host monsters, a monastery of ghosts​
You flesh taken to them after a hundred years of exploitation, a carcass left to us​
We suffer with our walking dead bodies​
We drill by hands those dampers couldn’t​
Till we all lay dead inside your stomach, a cesspool be!





 
Asante kaka kwa kutukumbusha habari hii, kiukweli inauma sana, mi nashindwa kuelewa mpaka lini mtanzania ataendelea kunyanyasika ndani ya nchi yake? wakubwa tusipofanya kitu tutakuja chekwa na wajukuu zetu pale ambapo watakuta nchi yoote imeuzwa kwa wageni na hatukufanya lolote. tuamke tufanye jambo ili kunusuru kizazi cha baadae asanteni sana
 
leo meli imekula wengine? hivi watanzania hatuna haki ya kuishi? ajali nyingi zinazovuilika linaua watu kila kukicha
 
Rasilimali Africa zimekuwa kama aina fulani ya laana.
 
tusiposimamia haki zetu tume kwisha serikalini hakuna mtetezi
sasa imefikia wakati watanzania tu na sauti moja kwa kila mauaji yanayofanyika
nchi, iwe ni serikali, mwekezaji au kundi la watu au kampuni
na hii ndio njia pekee ya kulinda haki na utu wetu
lakini kama tutakuwa tunashuhudia watu wanauawa kwa sababu tu sio ndugu zetu tunakaa kimya
wengine tutamalizwa
kwa kadri tunavyosimama mmoja mmoja ndivyo hawa dubu wanapata nduvu ya kutuparua na kutuanzamiza
Naunga mkono hoja
 
Back
Top Bottom