Leo ni miaka 25 baada ya tukio la kuhuzunisha la September 11 mwaka 2001

Camilo Cienfuegos

JF-Expert Member
Joined
Apr 23, 2015
Posts
19,380
Reaction score
68,484
Ulikuwa wapi wakati Marekani iliposhambuliwa na magaidi katika tukio la September 11 mwaka 2001?

Leo wamarekani wanatimiza miaka 25 (umri wa mtu mzima) baada ya mkasa wa kushambuliwa majengo ya biashara ya World Trade Centre na Jengo la Makao Makuu ya Wizara ya Ulinzi (Pentagon)

Wengine wanadai ilikuwa ni inside job ya Wamarekani na Waisrael afu lawama akapewa Osama na kundi lake la Al Qaeda.

Miaka inakimbia kweli, ulikuwa wapi wakati tukio hili linatokea?
 
Wazungu hawana akili za kichadema chadema. Wale walipigwa tuu na Osama bin Laden.
 
Ulikuwa wapi wakati Marekani iliposhambuliwa na magaidi katika tukio la September 11 mwaka 2001?

Leo wamarekani wanatimiza miaka 25 (umri wa mtu mzima) baada ya mkasa wa kushambuliwa majengo ya biashara ya World Trade Centre na Jengo la Makao Makuu ya Wizara ya Ulinzi (Pentagon)

Wengine wanadai ilikuwa ni inside job ya Wamarekani na Waisrael afu lawama akapewa Osama na kundi lake la Al Qaeda.

Miaka inakimbia kweli, ulikuwa wapi wakati tukio hili linatokea?
Nakumbuka nilikuwa kwenye taasisi Moja nafanya kazi ya kujitolea,boss wangu akanihadithia kilichotokea,pentagon imeripuliwa,nimiaka Mingi imepita aisee
 
Hatari nakumbuka ,jamaa ndiyo aliniambia alisikia kwenye BBC kwamba Twin Towers zimelipuliwa,enzi hizo simu ni miche ya sabuni viswaswadu ,internet mpaka Cafe ,habari unazipata redioni tu na kwenye TV. au magaezti ya shigongo..Ukitumiwa SMS kwenye mche wa sabuni unasoma sms kama inadisplay maneno yanayotembea kama kwenye TV taarifa habari zile subtitle zinavyopita chini.

Brooklyn, Queens, Manhattan, Staten ,Uptown, what now?! Let's make it happen ,Newyork Mazafanta

And we buildin' four more new towers mofo - Diddy
 
Back
Top Bottom