Horseshoe Arch
JF-Expert Member
- Aug 10, 2009
- 13,403
- 12,775
Na ilikuwa hisia kweli kweli alafu kupata bendera tu yenye picha ya Bob ama Tshirt mkuu ilikuwa mbinde na ukiipata unauziwa bonge ya bei ...mie nilikuwa na frame kabisa ya picha yake nimeiweka roomDah, huyu jamaa alikuwa na ushawishi mkubwa sana. Aliisho vizuri kwa wakati sahihi. I'm sure angekuwepo HD miaka hii ya mitandao ya SIMU na vurugu zake digital, VIJANA wote wangedata.
Kuna mzungu tulimsoma humu kuwa alishiriki kuandaa kifo cha huyu nguli kwa kumpa ZAWADI yenye vimelea vya canser. Miaka hiyo waliishi watu wababe sana na waliuana sana.
Alinipangawisha Bob Marley nikiwa Shule hasa high school pale Songea Boys. Ikipigwa get up stand au zimbambwe, nilihisi damu imesimama kwa muda, hisia Kali sana. Daftari zote Tunapiga verse kwa nyuma, unameza wakati wote. Dah, maisha yana mapito. Kizaxi cha sasa sijui km wana hisia km zetu aisee. Unakumbukwa Bob Marley huko uliko. Sijui km alikuwa mkritu huyu bnana.
Una utani na Lemutuz?jamaa amefanya mengi sana katika umri mdogo alioishi..kweli zamani kulikuwa na vichwa yaani kuna majina makubwa makubwa yamefanya vitu vingi ukifuatilia umri mpaka wanafariki unakuta ni miaka 30 na kitu ama 40 na kitu
Kwanini mkuuUna utani na Lemutuz?
Mwache Bob aitwe Bob asee Peter na Burning wailer walikua wazuri lkn Nesta alikua number chafuRespect kwake
Ila Truth be told, kwenye Wailers, Bunny Wailer alikua ni mwamba followed by Peter Tosh.
Marley was overrated!
"Don't worry about a thing,
'Cause every little thing gonna be all right.
Singin': "Don't worry about a thing,
'Cause every little thing gonna be all right!"
Rise up this mornin',
Smiled with the risin' sun,
Three little birds
Perch by my doorstep
Singin' sweet songs
Of melodies pure and true,
Sayin', ("This is my message to you-ou-ou:"
Read more: Bob Marley - Everythings Gonna Be Alright Lyrics | MetroLyrics
Zama hizi mtu anaishi mpaka miaka 70 lakini hakuna la maana alilofanya,kazi kuzurura tu mitaani kwenye vibanda vya kahawa kucheza bao na draft[emoji4] [emoji4]jamaa amefanya mengi sana katika umri mdogo alioishi..kweli zamani kulikuwa na vichwa yaani kuna majina makubwa makubwa yamefanya vitu vingi ukifuatilia umri mpaka wanafariki unakuta ni miaka 30 na kitu ama 40 na kitu