Leo ni miaka 37 ya kifo cha Bob Marley

Leo ni miaka 37 ya kifo cha Bob Marley

Dah, huyu jamaa alikuwa na ushawishi mkubwa sana. Aliisho vizuri kwa wakati sahihi. I'm sure angekuwepo HD miaka hii ya mitandao ya SIMU na vurugu zake digital, VIJANA wote wangedata.
Kuna mzungu tulimsoma humu kuwa alishiriki kuandaa kifo cha huyu nguli kwa kumpa ZAWADI yenye vimelea vya canser. Miaka hiyo waliishi watu wababe sana na waliuana sana.
Alinipangawisha Bob Marley nikiwa Shule hasa high school pale Songea Boys. Ikipigwa get up stand au zimbambwe, nilihisi damu imesimama kwa muda, hisia Kali sana. Daftari zote Tunapiga verse kwa nyuma, unameza wakati wote. Dah, maisha yana mapito. Kizaxi cha sasa sijui km wana hisia km zetu aisee. Unakumbukwa Bob Marley huko uliko. Sijui km alikuwa mkritu huyu bnana.
Na ilikuwa hisia kweli kweli alafu kupata bendera tu yenye picha ya Bob ama Tshirt mkuu ilikuwa mbinde na ukiipata unauziwa bonge ya bei ...mie nilikuwa na frame kabisa ya picha yake nimeiweka room
 
Katika kipindi chake kifupi cha maisha Duniani, Bob ameacha legacy kubwa sana.

Na sasa ni mwaka wa 37 toka afariki akiwa na miaka 36. Nyimbo zake bado zinaendelea kuishi.

Once a legend, always legend.
 
RIP Robert Nesta Marley!

My Old time favorite (Stir it Up)

Stir it up; little darlin', stir it up. Come on, baby.
Come on and stir it up: little darlin', stir it up. O-oh!

It's been a long, long time, yeah!
(stir it, stir it, stir it together)
Since I got you on my mind. (ooh-ooh-ooh-ooh) Oh-oh!
Now you are here (stir it, stir it, stir it together), I said,
it's so clear
There's so much we could do, baby, (ooh-ooh-ooh-ooh)
Just me and you......
 
"Don't worry about a thing,

'Cause every little thing gonna be all right.

Singin': "Don't worry about a thing,

'Cause every little thing gonna be all right!"


Rise up this mornin',

Smiled with the risin' sun,

Three little birds

Perch by my doorstep

Singin' sweet songs

Of melodies pure and true,

Sayin', ("This is my message to you-ou-ou:"




Read more: Bob Marley - Everythings Gonna Be Alright Lyrics | MetroLyrics



"Usijali lolote, kila kitu kitakuwa sawa"

Are you serious?

How?

What the hell is gonna make everything alright?

Bob Marley wrote some of the dullest, most boneheaded songs ever. Or whoever wrote his songs for him.
 
jamaa amefanya mengi sana katika umri mdogo alioishi..kweli zamani kulikuwa na vichwa yaani kuna majina makubwa makubwa yamefanya vitu vingi ukifuatilia umri mpaka wanafariki unakuta ni miaka 30 na kitu ama 40 na kitu
Zama hizi mtu anaishi mpaka miaka 70 lakini hakuna la maana alilofanya,kazi kuzurura tu mitaani kwenye vibanda vya kahawa kucheza bao na draft[emoji4] [emoji4]
 
Back
Top Bottom