Leo ni miaka 37 ya kifo cha Bob Marley

Leo ni miaka 37 ya kifo cha Bob Marley

...ndo mana nikasema kua baada ya Wailers kua maarufu kimataifa, Tosh alikua anafeel kutengwa...na alikua sahihi maana huwezi kumlinganisha Marley na Tosh...Tosh kamuacha mbali sana Marley...mbali sana sema umaarufu Marley ndo alikua nao mwingi..
Bob Kwa sauti nzuri...haha na Bunny Wailer utasema ni zaidi ya nzuri basi.

Ukitaka kujua Bob ni pimbi kwa Bunny basi skiliza Original version ya No Woman, No(dont) cry ya Bob afu skiliza version ya Bunny Wailer uje unipe mrejesho.

Kama humjui Bunny vizuri kaskilize hizi nyimbo zake 3 urudi tena
1.Here in Jamaica
2.Rock n Groove na
3.Old Dragon
Mkuu kwenye raggae huwezi kunidaganya, ukweli sauti ya bob ni tofauti kabisa na bunny au tosh, bob ana ana sauti frani kama huzuni siyo huzuni. Bob ni noma sanaa
 
Mkuu kwenye raggae huwezi kunidaganya, ukweli sauti ya bob ni tofauti kabisa na bunny au tosh, bob ana ana sauti frani kama huzuni siyo huzuni. Bob ni noma sanaa
Naona mahaba yako kwa Bob yanaovershadow uwezo wako wa kujua vitu vizuri zaidi.
Ila all in all , we agree to disagree, The Wailers walikua ni nuksi!
 
Kumbe bado unasikiliza izo takataka mkuu.
Kama unapenda vya nyumbani nakushauri sikiliza Jagwa Music ama wakina Vitali Maembe au Carola Kinasha
Hahahaaa,nasikiliza kwa bahati mbaya tu kwenye mikusanyiko ya watu ambayo si rahisi kuikwepa.Sijawahi kuvutiwa na sioni ikitokea nikapenda hii miziki ya akina Diamond and the likes
 
Naona mahaba yako kwa Bob yanaovershadow uwezo wako wa kujua vitu vizuri zaidi.
Ila all in all , we agree to disagree, The Wailers walikua ni nuksi!
Siyo mahaba mkuu, bob ana lafudhi flani hivi hata kama humwelewi unatamani tu kumskia.
 
Sababu za kwanini The Wailers ilikufa nadhani imefafanuliwa katika documentary ya Bob Marley ambayo Bunny Wailer alieleza kuwa Chriss Blackwell alikuwa anawa-expose kwenye mambo ambayo ni kinyume na imani ya kirastafari ikiwa ni pamoja na kuandaa matamasha katika clubs.Lakini pia Peter Tosh alikuwa haelewani kabisa na Chriss Blackwell (Tosh alikuwa akimuita Whitewell),ila zaidi ni kwamba Tosh alikuwa anaona hapewi respect anayostahili katika kundi.Bunny Wailer alianza kujitoa na baadae Tosh akafuatia.Documentary hiyo inaendelea kueleza kuwa huenda ilikuwa ni njama za makampuni mengine ya muziki kulidhoofisha kundi la The Wailers kwa maslahi yao binafsi.Sina hakika kama makaka wale watatu ie Bob Marley,Peter Tosh na Bunny Wailer walikuwa na uhasama wowote baina yao.Ikumbukwe kwamba Bunny Wailer na Bob Marley ni kama brothers kwavile Baba yake Bunny Wailer alizaa na Mama yake Bob (Hii ipo kwenye documentary ya CATCH A FIRE na ilielezwa na Bunny Wailer mwenyewe katika moja ya mahojiano.).Inawezekana kweli walikuwa na misuguano ya kawaida wenyewe kwa wenyewe ila isingetosha kuwasanabaratisha,naamini kulikuwa na external influence iliyofanya makaka wale watawanyike katika kundi.
 
Sasa swali ambalo najiuliza,ni kwanini baada ya Bunny Wailer na Peter Tosh kujiondoa kundini,mbona Bob Marley aliendelea kulitumia jina la The Wailers huku akiwa na waimbaji wengine kama Rita (mkewe),Juddy Mowatt na Marcia Griffith (I Threes) wakati waanzilishi walijitoa?
 
Mkuu sibishani nawewe but tulia tujifunze wote, wazungu bado wanaubaguzi wasiri sana usipokua makini ni ngum kugundua, Criss Blackwell baada yakuingia mkataba na the wailers kurecodi zile album kumi, kwenye cover ya album alikua anaandika Bob Marley and the wailers na hii ilimfanya bob ajulikane zaidi. Nakweli alijulikana sana maana kunawati wakienda tour mashabiki walikuwa wanaimba jina la bob tu! Tosh kwakua alikua hapendi ubabaishaji aliamua kujiondoa kwa sababu kama ninyimbo wanatunga wote bob kazi yake ni kuimba tu kwa vile sauti yake ilikuwa ni nzuri zaidi. Tosh baada ya kujiondoa the wailers, media za wazungu zilianza kumnanga kwamba tosh bangi imemwathiri na anaelekea kuchanganyikiwa.
Mkuu umeongea ukweli halisi ambao mashabiki wengi wa Robert/ Bob hawataki kabisa kuusikia!!..

Bob alibebwa zaidi ya wenzie kwa sababu tu ya uzungu wake!
Na alikuwa mzungu kweli maana tunachokua asili kwa baba, kama Obama tunamuita mweusi kwa sababu baba take alikuwa mwafrika na Bob alikuwa mzungu tu, kwakuwa baba yake alikuwa mzungu!
 
Kwanin vijana waliokua machachali waliuawa mapema sana hata 2pac na Big walikua wadogo...
 
Mkuu umeongea ukweli halisi ambao mashabiki wengi wa Robert/ Bob hawataki kabisa kuusikia!!..

Bob alibebwa zaidi ya wenzie kwa sababu tu ya uzungu wake!
Na alikuwa mzungu kweli maana tunachokua asili kwa baba, kama Obama tunamuita mweusi kwa sababu baba take alikuwa mwafrika na Bob alikuwa mzungu tu, kwakuwa baba yake alikuwa mzungu!
Kweli kabisa mkuu, but bob alikuwa anabebeka jamaa ni alikua mvumilivu sana siju kwa sababu alikuwa hapendi hela?
 
Sasa swali ambalo najiuliza,ni kwanini baada ya Bunny Wailer na Peter Tosh kujiondoa kundini,mbona Bob Marley aliendelea kulitumia jina la The Wailers huku akiwa na waimbaji wengine kama Rita (mkewe),Juddy Mowatt na Marcia Griffith (I Threes) wakati waanzilishi walijitoa?
Pengine kwa sababu ya imani yao ya kirasta hawakuona kama ni busara kugombania jina.
 
Mkuu umeongea ukweli halisi ambao mashabiki wengi wa Robert/ Bob hawataki kabisa kuusikia!!..

Bob alibebwa zaidi ya wenzie kwa sababu tu ya uzungu wake!
Na alikuwa mzungu kweli maana tunachokua asili kwa baba, kama Obama tunamuita mweusi kwa sababu baba take alikuwa mwafrika na Bob alikuwa mzungu tu, kwakuwa baba yake alikuwa mzungu!
Katika hili la yeye kuwa Half cast alisema "me dip on God's side who created me and caused me to come from black and white"
 
Katika hili la yeye kuwa Half cast alisema "me dip on God's side who created me and caused me to come from black and white"
Hii naikumbuka..Bob was a real philosopher who was born and raised inna de ghetto...non can be like him and replaced his place man...non o dem
 
Back
Top Bottom