Leo ni miaka 37 ya kifo cha Bob Marley

Leo ni miaka 37 ya kifo cha Bob Marley

The Icebreaker

JF-Expert Member
Joined
Feb 11, 2018
Posts
22,278
Reaction score
65,817
Screenshot_2018-05-11-01-06-03.jpg


Robert Nesta Marley maarufu zaidi kwa jina la Bob marley,alifariki siku kama ya leo 11-may-1981

Bob marley alizaliwa Jamaica tarehe 6-2-1945 kwa mama mjamaica Cedella malcolm booker,na baba yake ni mzungu Norval marley mwenye asili ya Uingereza,

Bob marley alipata umaarufu na mafanikio zaidi kupitia nyimbo zake za One love,Zion train,Iron lion zion,No woman no cry,Buffalo soldier,Zimbabwe,Africa unite,Three little birds,Waiting in vain,Is this love,Get up stand up,Positive vibration,Wake up and live,Redemption song,Exodus na nyinginezo nyingi,

Bob aliacha watoto 11 wawili wakiwa wakuasiliwa,Sharon na Stephanie ambao Rita aliwazaa na wanaume wengine,

Watoto wake wengine wa Bob ni;Cedella,David "ziggy",Stephen,Robert "robbie",Rohan,Karen,
Julian,Ky-mani na Damian,

Siku za mwisho akiwa kitandani hospitalini,rasta zake zilinyolewa kutokana na hali aliyokua nayo kiafya,

Bob alifariki akiwa na miaka 36 tu mjini Miami USA may 11-1981 kwa ugonjwa wa melanoma (skin cancer) leo ni miaka 37 toka kifo chake,

Bob marley alizikwa tarehe 21 may 1981 katika kijiji cha Nine mile nchi Jamaica,kijiji ambacho ndipo alizaliwa tarehe 6-2-1945.


Habari zaidi, soma=>CIA walimuua Bob Marley?

Historia na kumbukumbu ya kifo cha Bob Marley

Bob Marley aliamini Mungu kweli?
 
jamaa amefanya mengi sana katika umri mdogo alioishi..kweli zamani kulikuwa na vichwa yaani kuna majina makubwa makubwa yamefanya vitu vingi ukifuatilia umri mpaka wanafariki unakuta ni miaka 30 na kitu ama 40 na kitu
 
"Don't worry about a thing,
'Cause every little thing gonna be all right.
Singin': "Don't worry about a thing,
'Cause every little thing gonna be all right!"

Rise up this mornin',
Smiled with the risin' sun,
Three little birds
Perch by my doorstep
Singin' sweet songs
Of melodies pure and true,
Sayin', ("This is my message to you-ou-ou:"



Read more: Bob Marley - Everythings Gonna Be Alright Lyrics | MetroLyrics
 
Dah, huyu jamaa alikuwa na ushawishi mkubwa sana. Aliisho vizuri kwa wakati sahihi. I'm sure angekuwepo HD miaka hii ya mitandao ya SIMU na vurugu zake digital, VIJANA wote wangedata.
Kuna mzungu tulimsoma humu kuwa alishiriki kuandaa kifo cha huyu nguli kwa kumpa ZAWADI yenye vimelea vya canser. Miaka hiyo waliishi watu wababe sana na waliuana sana.
Alinipangawisha Bob Marley nikiwa Shule hasa high school pale Songea Boys. Ikipigwa get up stand au zimbambwe, nilihisi damu imesimama kwa muda, hisia Kali sana. Daftari zote Tunapiga verse kwa nyuma, unameza wakati wote. Dah, maisha yana mapito. Kizaxi cha sasa sijui km wana hisia km zetu aisee. Unakumbukwa Bob Marley huko uliko. Sijui km alikuwa mkritu huyu bnana.
 
She's gone (she's gone), she's gone (she's gone),
she's gone (she's gone), she's gone, ye-ah!
Oh, mocking bird, have you ever heard,
Words that I never heard?
Oh, mocking bird, have you ever heard,
Words that I never heard?

She made it through the exit (she just couldn't take it);
She made it through the exit (she just couldn't make it).
And, oh, my children, if you see me cryin':
My woman is gone.
If you see me - if you see me - if you see me -
if you see me cryin' -
If you see me - if you see me - if you see me -
if you see me cryin



Read more: Bob Marley - She's Gone Lyrics | MetroLyrics
 
Alinipangawisha Bob Marley nikiwa Shule hasa high school pale Songea Boys. Ikipigwa get up stand au zimbambwe, nilihisi damu imesimama kwa muda, hisia Kali sana. Daftari zote Tunapiga verse kwa nyuma, unameza wakati wote. Dah, maisha yana mapito. Kizaxi cha sasa sijui km wana hisia km zetu aisee. Unakumbukwa Bob Marley huko uliko. Sijui km alikuwa mkritu huyu bnana.
Tunashabihiana kwenye hili.

Moja ya nyimbo pendwa kwangu ulikuwa ni huu Buffalo Soldier kwenye walkman (sony), Tape ikiharibika haraka inatafutwa nyingine.
upload_2018-5-11_6-22-29.png

 
So sad kuondoka katika umri mdogo namna ile. Dunia ilimpoteza mwanamapinduzi wa aina ya kipekee katika wakati ule. Nakumbuka kibao chake cha War aliponukuu maneno ya Haile Sellasie akisema, Until the philosophy which hold one race superior and another inferior is finally and permanently abandoned every where is war. Katika kibao chake kingine cha could you be loved alisema dont let them fool you or even try to school you, we've got mind of our own.. Rest in peace Bob.
 
Ni wimbo upi unakufanya uendelee kumkumbuka mwana mziki huyu?
 
Back
Top Bottom