Uchaguzi 2020 Leo ni mwezi mmoja kamili toka kampeni zianze, CCM tu ndio inanadi Sera na Chama wengine wanajinadi wao binafsi kuwa nichague mimi

Uchaguzi 2020 Leo ni mwezi mmoja kamili toka kampeni zianze, CCM tu ndio inanadi Sera na Chama wengine wanajinadi wao binafsi kuwa nichague mimi

Kampeni ni kunadi Sera na chama ili chama kishike dola.

Leo ni mwezi mmoja kamili toka kampeni zianze CCM tu ndio inanadi sera na chama wengine wanajinadi wao binafsi kuwa nichague mimi.

Kampeni kwao zimejikita zaidi kwenye u imimi sio chama ndio maana tunaona hata vyama vingine kama Chadema vikisema Zanzibar mchagueni Maalim Self hawasemi ichagueni ACT wazalendo na pia tumeona Act wazalendo ikisema Mchagueni Lisu haisemi ichagueni Chadema ishike dola nk.

Kawasikilize na mashabiki wa upinzani wengi wamelishwa u mimi kiasi kuwa hata hawajui kuna wagombea wengine wa ubunge na udiwani .Wengine hata hawawajui wanawajua Lipumba,Maalim.Self na Lissu tu.

CCM so far imekinadi chama na Sera vizuri .Sera ya mfano ya maendeleo ya vitu kama barabara miradi ya maji hospital nk ambayo wananchi wenyewe waliiomba kwa hiari yao maeneo husika inapokelewa vizuri. Tuendelee kushikilia hapo hapo na kuendelea kukinadi chama chetu na Sera zetu ili October 28 tupate kura zote za raisi wabunge na madiwani wa CCM kwa mpigo.

Jambo lingine ni kuwa kumekuwa na mwamko kichama kwa upande wa vyama wa wanachama kuhamasika kichama na kuonyesha wazi mhamasiko mkubwa wazi ni vyama vitatu tu vimeweza kwa wanachama wake kila ukitembea kuwaona wakiwa katika sare za vyama vyao kwa wingi mikutanoni kuonyesha kuwa kuna uhai wa chama kwenye mikutano inapogayika.

Chama cha CCM kinaongoza kwa uhai wa chama kwenye maeneo yote kampeni zimepita watu wamejitokeza kwa wingi na sare za CCM kwa Maelfu chama cha pili ni ACT wazalendo maeneo yao wanayopita mikutano yao wengi wanatoka na sare za chama chao unaona kuwa hapa pana uhai wa Chama.

Chama cha Tatu ni CUF hawa nao uhai wa chama unaonekana wazi maeneo wanayopita wanachama wenye sare waliohamasika ni wengi kwenye maeneo ya kampeni.

Chama ambacho kiko wazi kuonyesha uhai wa chama maeneo mengi haupo au umekufa kabisa ni Chadema. Ukifuatilia mapokezi kitu pekee ambacho Chadema inajitutumua kuonyesha kuwa uhai wa chama upo ni kuwagawia bodaboda wanazokodi bendera za Chadema wazifunge kwenye pikipiki wanaposindikiza msafara wa mgombea ambazo wakishamfikisha mkutanoni huzitoa na kurudi kuendelea na biashara zao. Lakini ukiangalia mkutano mzima unaona uhai wa chama hapo mkutano unafayika haupo ni watu tu wamekuja kusikiliza na kuondoka zao.

Sare za chama utaziona tu jukwaa kuu Lakini huhitaji kuwa mtaalamu wa political science kujua kuwa eneo hili mkutano wa unapofanyika uhai wa Chadema haupo.Chadema wanajivunia watu wasiwajua kujaa mkutanoni wanasahau kuangalia uhai wa chama hapo upo? Uhai wa chama ni muhimu eneo LA kampeni sababu umati wao ndio utaenda kunadi Sera za chama mtaani na kwao kwenye matawi yao kwa wale ambao hawakuja mkutanoni hivyo kuleta multiplier effect kubwa ya kupata wapiga kura wengi zaidi kuliko waliohudhuria mkutanoni.

Uhai mkubwa wa chama kwenye eneo ndio determinant factor kubwa ya ushindi
Hata kukujibu ni kupoteza mda tu

Sent from my Infinix X606B using JamiiForums mobile app
 
Ulichoandika hapa "umemsaidia mgombea wako kujibu hoja kule jukwaani?"hivi huoni mda unaenda Kasi sana "mwokoeni mkubwa wenu hoja nzito kila siku znaongezeka na hazjibiwi!! Munalipwa bure kabisaa!!

Sent from my SM-G920F using JamiiForums mobile app
Jukwaa LA kampeni sio jukwaa la midahalo kati ya mgombea wa chama kimoja na kingine ni kunadi Sera za chama kwa wananchi ili wao Siku ya uchaguzi waamue wachague nani?

Wewe na mgombea wako hamjielewi muda unayoyoma nadiini sera zenu hiki sio kipindi cha midahalo ya wagombea.CCM hatuna muda wa midahalo sisi ni kunadi sera zetu kwa wananchi full stop
 
Tunajiandaa kurejesha mchakato wa katiba mpya ili tupate mgombea binafsi wewe bado unakomaa na mambo ya vyama.
 
Tunajiandaa kurejesha mchakato wa katiba mpya ili tupate mgombea binafsi wewe bado unakomaa na mambo ya vyama.
Chadema wagombea wanajinadi utafikiri wagombea binafsi nichague mmi mimi mimi as if chama hakijawatuma
 
Ile chagua Magufuli ya 2015 imeyeyuka,Magufuli hauziki tena kwa wananchi aliowasababishia njaa,akawanyima na haki, akawaswaga kwa ubabe,vitisho na mijeredi kama mang'ombe yake ya Chato.

Hata hivyo CCM na Magufuli wao hawana jipya wanayarudia Yale Yale waliyoyasema miaka huko wakiwaziba midomo na kuwafunga miguu na mikono wapinzani wao. Bila ya matamasha ya wasanii mikutano yenu itadoda.
 
Waambie....Hivi Mbowe mbona haonekani kwenye kampeni au chama fulani kilishauzwa maana hata sera zao ni kama Madalali
 
Wewe umeshindwa kumsaidia Mwenyekiti wako kujibu hoja umekuja na hoja nyepesi namna hii. Hoja zote za Chato,Mayanga na nk zote hizi hujasziskia? Pia wewe kwa ufahamu wako kuvaa sare za vyama ndy kukubalika? Sare zenu si mnagawaga bure?sasa ulitegemea mtu uliemtengenezea umaskini na ujinga kwa mda mrefu ukimdanganya kwa tishet na kofia atakataa? Leta hoja fikirishi katika nyakati hizi ili tujue mstakabar wa Taifa letu. Na sio tantalila hizi!!

Sent from my SM-G920F using JamiiForums mobile app
Hamna sera kwa sasa Upinzani, mnaoshia kupiga mihayo tu ...Nchi sio SACCOS au kikundi cha Kikoba mmemiliki výama mnataka mmiliki na nchi kama viatu...No thank You!
 
Huyu kibaraka anajikomba sana jamani....[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] ....Tar28 kiherehere kitamuisha
Wakupimwa 👌wewe
 
Wakupimwa [emoji108]wewe
Democratic Union of Africa halafu General Secretary Mzungu....acheni kutuchora ...hata Libya ilianza hivyo hivyo.....!!Kajiuzeni nyie na familia zenu sio Tanzania...!!Tar28 sio mbali
 
Sera au burudani ya mziki? Hebu tuambie ilani ya CCM inasemaje kuhusu vitambulisho vya wajasiriamali na mgombea wenu wa CCM anasemaje?
 
Watu hawana interest tena na sera sijui kwann
Mbona sera zina-nadiwa sana tu na vyama! Wenye kuahidi barabara, shule, hospitali nk huwasikii? Wenye kuahidi maendeleo ya watu huwasikii?. Mwaka huu kuna tofauti kubwa ya sera kati ya ccm na chadema. CCM wanaendelea na sera za ahadi ya kufanya mambo kadhaa hasa ya vitu vitalavyooneka na kufanywa moja kwa moja na serikali. CHADEMA wanakuja na sera ya madaraka kurudishwa kwa wananchi huko waliko na ndio wawe huru kuamua mambo yao kwa raslimali zao, Kwa hiyo ahadi za barabara, shule, hospitali nk utazisikia kidogo sana kwani wananchi ndio wataamua mambo yao.
 
Back
Top Bottom