Leo ni ndani ya Naija..sio NYC beutiful Omotora....

Leo ni ndani ya Naija..sio NYC beutiful Omotora....

hapa sijui kama nimesoma vizuri ama nahitaji safety goggles<?xml:namespace prefix = o ns = "urn:schemas-microsoft-com😱ffice😱ffice" /><o😛></o😛>
:confused2::becky:

Vipi, nawe ushaanza kutema mate hovyo? Ukiona hivyo ujue mambo ya beautiful Omotora yamehamia kwenye beautiful Omomimba!
 
Vipi, nawe ushaanza kutema mate hovyo? Ukiona hivyo ujue mambo ya beautiful Omotora yamehamia kwenye beautiful Omomimba!
very nice experience.Omomimba ni nzuri ndio maana leo hii unatupigia kelele
 
jamani hizi ID zinatuchanganya sasa, hebu mwambie anisalimie pm, mpaka sasa mie cjamtambua CBZ ni nani walaah.
Hv kweli huyu SIBIZEDI ni nani jamani?...Mi jana nilimjibu maneno ambayo lau ningekuwa namjua nisingefanya hivyo!
Ajitambulishe hata kwa pm!...huh!
 
Vipi, nawe ushaanza kutema mate hovyo? Ukiona hivyo ujue mambo ya beautiful Omotora yamehamia kwenye beautiful Omomimba!

Long tym ago utakuja kwenye Baby shower?
 
I can't be a nice joker like ASPIRIN wajameni

Ila we FL1 ndo nini kustua nyonga zetu majogoo namna hii?

Naungana na sala ya APSIRIN kuwa dhambi zetu tunazoendelea kufanya kuhusu hizo picha zikuendee weye.
 
184P3588.jpg

Tupumzike kidogo na uchaguzi ...

Sijapenda usafiri wake, miguu iko kama fito ama huwa tunaita container njuu ya chelewa! Mambo ile nyingine imetulia
 
asprin umemzimia huyo chill out maana huishi kusema ila we acha avatar nayo mzozo hata kwangu
Conquest-utamu wa pipi kifua na maji kumoyo
 
Omotola napenda uigizaji wake, pia ukiacha ana watoto 3 au 4 ila bado yupo safi!

Asprin hujatenda dhambi, umepunguza protini kama sikosei!..pole sana:becky::becky:
 
Pia nusu ya dhambi watakazozitenda kina Kimey, Kaizer, Teamo, Fidel, The Finest, Bigirita, Next level, Acid,Dark City, Dreamliner. Klorokwini,Maxence , Roya Roy, Invisible, Maskini_Jeuri na wanachama wote hai wa Infidelity Social Club zihamie kwa FL1.

Mjomba fomu za kujiunga na chama zinapatikana wapi nami nijiunge.Msifaidi wenyewe infidelity tamu ati hasa kama umri unaruhusu.
 
Omotola napenda uigizaji wake, pia ukiacha ana watoto 3 au 4 ila bado yupo safi!

Asprin hujatenda dhambi, umepunguza protini kama sikosei!..pole sana:becky::becky:

Mimi nimepata shida na 'avatar' yako!!!!!!!
 
Nasikia waigizaji wa kiume wa Nigeria huwa wanamgombani kuigiza naye mara anapochukua nafasi ya kuwa mke kwa sababu yeye hupenda kumalizia kabisa tendo la ndoa nje ya kamera!!!!!! Ila usafiri wake kidogo hauko propostional na wowowo ila kwa ujumla yuko safi pamoja na kuwa na watoto wengi!!!!!!!!
 
Back
Top Bottom