Leo ni ndoa ya Diamond na Zari?

Hivi yule dogo babu Tale anajitambua kweli? Mwenziwe Aunt Ezekiel alijitambua mapema wakati anabebeshwa mikoba na Wema akatimua zake, haka kajamaa bado kapo tu kanapigwa vidole huku kakichekelea, hivi hana ndugu wa kumuhamsha? Mwanamme mzima na mavuzi tele mpaka mkunduni utakuwaje mpambe wa mwanamme mwenzio?
 
Kama namwona Mange kimambi atakavyotokwa povu. Utadhani zari na diamond ndo wamemwachanisha na mzungu.
 
Ata yako unayofanya kwa kujificha nayo ni zina tu mkuu, wala akuna tofauti hapo
 
Naona unamwonea wivu mwenzio haya kaolewe na wewe sasa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…