Odds zimeonesha PSG hapewi nafasi kubwa kushinda hii game japo binafsi nataka PSG ashindePSG Ana nafasi kubwa Leo ya kushinda
Messi
Mbappe
Neymar
wote wapo ndani , Mbappe ataanzia sub
Bayern watamkosa kiungo wao Sadio Mane
222Hivi DStv wanaonesha channel gani?
PSG anakufa,ukizingatia huwa wanatabia ya kuruhusu magoli leo atapigwa kama dufu.Mbungi imeanza