INSIDER MAN
JF-Expert Member
- Nov 7, 2018
- 2,005
- 19,579
PSG waangalie suala la viungo wafanye usajili kwenye hili eneo, wanapwaya sana
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Psg siyo timu,anabomolewa hovyo Ligue 1,hao Bayern wanatest panga kwenye migomba...champions league yote mwamba man city tuHawa Bayern hawa, wana balaa sana
Verati kiungo mvaa gauni bado yupo tu!!?..hiyo timu wahenga wengiKiungo psg wameoza ,verati na mwenzake watoke
Real Madrid.Psg siyo timu,anabomolewa hovyo Ligue 1,hao Bayern wanatest panga kwenye migomba...champions league yote mwamba man city tu
Madrid ndondokela tu,hamna kitu mule,ya mwaka Jana hayatojirudiaReal Madrid.
tusubiri muda utatupa majibu.Madrid ndondokela tu,hamna kitu mule,ya mwaka Jana hayatojirudia
PSG kachezewa mpira mkubwa sana kipindi cha kwanzaPsg siyo timu,anabomolewa hovyo Ligue 1,hao Bayern wanatest panga kwenye migomba...champions league yote mwamba man city tu
Dortmund anaua Chelsea hakuna team km Tottenham tu jamvi la wageniLeo ni Arsenal Vs Man City.👈Mbungi nyingine hii. Dortmund Vs Chealse.
Kwani mouting naye ana hattrick mbili msimu huu???Kuna wadau hapa kibanda umiza wanasema Choup mouting ni kama bocco tu,tofauti ni location[emoji51][emoji51]
Nilishasema Jana naona yametimia...Dortmund anaua Chelsea hakuna team km Tottenham tu jamvi la wageni
Arsenal v Man City hapo ni 12 lolote linaweza kutokea