Leo ni PSG VS Bayern Munich kwenye UEFA

Leo ni PSG VS Bayern Munich kwenye UEFA

PSG ni timu ya ovyo sana una mbappe,una Fabian Luiz unawazisha nje afu unaviweka vitoto havieleweki kabisa inakuaje Sergio Ramos sio captain ila timu ovyo sana
 
Dortmund anaua Chelsea hakuna team km Tottenham tu jamvi la wageni

Arsenal v Man City hapo ni 12 lolote linaweza kutokea
Nilishasema Jana naona yametimia...

Arsenal kafa 3-1
Chelsea kafa 1-0
 
Back
Top Bottom