Leo ni shangwe kwa wana SUA kwa kumpata president tuliyempenda

jerry wa somi

Member
Joined
Mar 17, 2014
Posts
16
Reaction score
9
Leo ni siku ya furaha kwangu na kwa wanasua wote kumpata kiongozi tunayemwamin,mtunayempenda ,tuliyempa dhamana ya kuwa rais katika chuo chetu.

Kumbuka sera zako ahadi ulizo wahaidi wanasua pamoja na mabadiliko katika mfumo mzima wa serikali yetu. Ni shukrani zangu za dhati kwako kwa kuweza kuvumilia yale yote yalioibuka wakati wa kampen, we believe in changes.

Asante sana,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…