Leo ni siku ngumu kwa maeneo mengi yanayoonyesha mpira

costview

Member
Joined
Feb 21, 2023
Posts
35
Reaction score
41
Maana mechi za simba na yanga zote saa kumi uwezo wa kuzionyesha wanaweza ila sauti unaweka kwenye mechi ipi?
 
Siku zote sheria inayoamua ni kigezo cha ukubwa wa timu.

Hapo mechi ya Simba ndio itayooneshwa kwa sauti.

Simba ni timu kubwa hata thamani yake ni kubwa kuliko timu yeyote ukanda huu.

 
Tanesco inafanya kazi kwaajili ya wananchi au ipoipo tu, kila siku mgao zaidi ya masaa 10 na hata burudani kama hizi hupati dah
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…