Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wa mute zote waweke ya Juve.Maana mechi za simba na yanga zote saa kumi uwezo wa kuzionyesha wanaweza ila sauti unaweka kwenye mechi ipi?
AahàaaaaaaSiku zote sheria inayoamua ni kigezo cha ukubwa wa timu.
Hapo mechi ya Simba ndio itayooneshwa kwa sauti.
Simba ni timu kubwa hata thamani yake ni kubwa kuliko timu yeyote ukanda huu.
View attachment 2751058
Hapa mechi ilio na sauti ni ya YangaSiku zote sheria inayoamua ni kigezo cha ukubwa wa timu.
Hapo mechi ya Simba ndio itayooneshwa kwa sauti.
Simba ni timu kubwa hata thamani yake ni kubwa kuliko timu yeyote ukanda huu.
View attachment 2751058
Pumbavu TanescoHapa mechi ilio na sauti ni ya Yanga