Leo ni siku ya 5 Kingolwira Morogoro hatuna umeme

Leo ni siku ya 5 Kingolwira Morogoro hatuna umeme

Ruyama

JF-Expert Member
Joined
Sep 6, 2019
Posts
367
Reaction score
563
Hatujapewa taarifa nini shida, yaani samaki kwenye friji tumekaanga wote.

Saluni na wachomelea vyuma[emoji44]amaa kweli Magufuli tutakukumbuka

TANESCO
 
Wapinzani walituchelewesha sana ndugu zangu...

Huyo magufol mwenyewe ndio mwasisi wa matatizo yanayoibuka kipindi hiki
 
Hatujapewa taarifa nini shida,yaani samaki kwenye friji tumekaanga wote.
Saluni na wachomelea vyuma[emoji44]amaa kweli Magufuli tutakukumbuka
Hebu nenda pale Tanesco uwaeleze hilo tatizo. Watakuwa hawajapata taarifa.
 
Poleni Sana aisee. Kuna mlupo wangu ulisema unatokea huko dah! pole yake.
 
Back
Top Bottom