#COVID19 Leo ni siku ya Afya ya Akili, Je Watanzania tutumie chanjo ya Corona kama kipimo cha utimamu wetu?. Wapinga chanjo, sio wazima! Je ni vichaa?

Unamkuta mtu anaipinga CHANJO dhidi ya CORONA kwa kigezo kuwa zinatoka ULAYA kwa mabeberu....huku kila siku akimeza TEMBE DHIDI YA VIRUSI VYA UKIMWI....sasa sijui hizo tembe zinatengenezwa Lushoto Tanga?!!! 🤣
Kabla hajapata akili sawa sawa aliingiziwa mwilini chanjo ambazo hazijui vizuri lakini baada ya kupata uelewa anazipinga chanzo hizo!. Ni akili mbovu sana za ubishi na ujuaji ambazo kwa mujibu wa mleta mada ni sawa na kuwa kichaa kuwa nazo kichwani mwako.
 
Sasa hizo chanjo ukisha chanjwa, unapatwa na hayo magonjwa? Je kwenye jamii yetu kwa sasa unayasikia hayo magonjwa kuwaathiri watoto na watu wazima?

Mimi sikatai kuchanjwa! Ila napenda kuja kuchanjwa chanjo ya ukweli, badala ya hizi takataka zenu mnazopewa na Mabeberu kwa masaharti ya kupata misaada mnayo itumia kupigia ufisadi.
Sasa mbona na hao mabeberu wanatumia hizo hizo chanjo?
Huenda mpaka sasa unapumua kwa hisani ya mabeberu!
 
kwa wanasiasa na viongozi vichaa ni wale WOTE waliokuwa wanasema chanjo haifai kipindi Dr. Magufuli akiwa hai, lakini baada ya kuwa ameuliwa wanasema chanjo inafaa.

kwa wananchi vichaa ni wale wote waliochanja.
Marehemu akifufuka atakimbia fastaa kupiga chanjo!
 
Kabla hajapata akili sawa sawa aliingiziwa mwilini chanjo ambazo hazijui vizuri lakini baada ya kupata uelewa anazipinga chanzo hizo!. Ni akili mbovu sana za ubishi na ujuaji ambazo kwa mujibu wa mleta mada ni sawa na kuwa kichaa kuwa nazo kichwani mwako.
Mkuu tatizo watu washazoea kufuata maagizo ya waganga na viongozi wao wa dini... Kule hawaruhusiwi kuhoji hoji vitu! Ni Tawire na Amina!
Watasomesha watoto wao shule ghali ghali kusudi wapate elimu lakini hawataheshimu taaluma zao wakianza practice!
 
kwa wanasiasa na viongozi vichaa ni wale WOTE waliokuwa wanasema chanjo haifai kipindi Dr. Magufuli akiwa hai, lakini baada ya kuwa ameuliwa wanasema chanjo inafaa.

kwa wananchi vichaa ni wale wote waliochanja.
Mkuu hata wewe hapa unaviashiria vingi sana vya ukichaa... Pamoja na kwamba unajua kuandika, kusoma na kuvaa
 
Mkuu hiyo mifano uliyoitoa ni viashiria vikubwa sana ya ukichaa. Mitaani huku wengi ni vichaa kisa dini. Wengine ni vichaa kisa Simba, Yanga na zile timu zao za Ulaya wasizozijua vizuri!
Tafuta kwanza maana ya ukichaa utakubaliana na mimi!

Ndio maana nimesema inategemea unautafsiri vipi ukichaa. Na kama ukichaa una tafsiri na maana moja, haiwezekani mtu akawa kichaa kwenye eneo moja lakini sio kichaa kwenye eneo jingine.

Kama umeajiriwa kuna mtu ana kuona hamnazo, na wakati wewe unamshangaa anaebeza kuajiriwa, Je, hapo kuna chembe chembe za ukichaa kuhusika?
Na kama zipo, ni upande upi una ukichaa? Na vigezo vipi vinatumika kuhitimisha huo upande una matatizo ya akili?
 
Ni kigezo gani kimetumika kuichagua chanjo ya Corona? Je kuichagua chanjo ya Corona na kuziacha nyingine sio ukichaaa?
Ni ukichaa! Kuchanja mwilini chanjo isiyo kukinga na ugonjwa kwa 100%, nao ni ukichaa! Kuendesha kampeni za kuchanja, ni ukichaa!
 
Hivi hao jamaa hawaelewi hiyo chanjo ni biashara kubwa! Vichaa ndo nyinyi mnaodai chanjo inasaidia wakati ufanisi wake haueleweki!
 
Nadhani tumuulize Antony Diallo alisema miaka mitano nyuma kuna kiongozi alikua na file mirembe ila akapewa ofisi kubwa tuanzie hapo.
 
Wanabodi,

Leo October, 10 kila mwaka ni siku ya Afya ya Akili, kuna ule utafiti, ulioonyesha kuwa kwenye kila Watanzania 4, mmoja ana tatizo la Afya ya akili.

Matokeo ya utafiti huo, umerudiwa leo asubuhi kwenye TBC na daktari mmoja Mtaalamu wa Afya ya akili kwenye mahojiano ya kipindi cha Jambo Tanzania kinachorushwa live kila asubuhi, leo kikijikita kwenye kuizungumzia siku ya Afya ya akili duniani.

Ili uweze kulielewa bandiko hili kikamilifu, anza na kusoma hoja za gazeti hili.

View attachment 1969920

kisha nenda bandiko hili
Kuwa kichaa sio mpaka kuokota makopo!. Je, Tanzania tuna vichaa wengi kuliko tunavyojidhania?!.

Hivyo tunavyoendelea kuiadhimisha, ni vyema kujiuliza jee wewe ni mmoja kati ya wale wanne, ukijikuta ni mmoja wao, unaweza kujitibu kwa kujitambua tuu na kama ni serious, nenda kwa wataalamu, ila wale wenye serious critical problem, huu ni ugonjwa tuu kama ugonjwa mwingine wowote na watu wenye matatizo haya wanahitaji matibabu kama wagonjwa wengine wowote.

Kiukweli kabisa katika Jamii yetu tuna vichaa wengi kuliko tunavyojitambua. Wengi wanadhani kipimo cha kwanza kabisa cha kumjua mtu amechanganyiwa ni kuongea peke yake, hiyo ni stage ya mwisho ya ugonjwa, kiukweli kuna vichaa vichaa wengi, wanaongea vizuri tuu kama ni wazima, ila hayo wanayoongea ndio huwabainisha kuwa sio wazima!.

Miongoni mwao kuna wanasiasa, na hata viongozi wengi tuu, wakiwemo baadhi ya viongozi wetu wa dini, mtu mwenye akili timamu ukiwasikiliza kwa makini utabaini kuwa hata baadhi ya viongozi wetu wa dini, haswa hizi dini za kisasa za uchochoroni, baadhi yao sio wazima, ni vichaa kabisa, japo wana vaa very smart na kuzikusanya sana sadaka!.

Jee mnaonaje tukitumia kipimo rahisi zaidi cha kisasa cha kujipima Afya yako ya akili, ni kutumia kipimo cha chanjo ya Corona. Jiulize jee wewe unaikubali chanjo ya Corona?, ukijikuta unaikubali, then wewe ujihesabu Afya yako ya akili iko vizuri, uko sawa, hivyo kama hujachanja, nenda kachanje. Ukijikuta wewe sio kwamba huikubali na bado hujachanja kwasababu unataka kwanza kujiridhisha kuwa hii chanjo ni salama, hivyo wewe bado ni undecided, then anza kujiuliza, kama wewe ni mzima, au laa ila wale wote wanaopinga chanjo inawezekana kabisa, hawa sio wazima, ni wagonjwa wa akili, ni vichaa ila tuu hawaokoti makopo?, hivyo badala ya kuwashutumu na kuwasimanga, tunahitaji kuwasaidia ili akili zao zirudi, wote tukachanje kulinusuru taifa.

Nakutakia Jumapili njema, na siku njema ya Afya ya akili.
P
Sasa naanzaje kumsaidia Gwajima?
 
Kuna aina kumbi na mbili za ukichaa, ukichaa sio kutembea uchi barabarani wala si kutembea na karabai in a neon dsy light hata kuna vichaa waliondani ya suti kuna vichaa wanaoanzisha hata nyuzi JF. Nsalo jile 12.

Hata kugombea ubunge ukaforce kuchaguliwa na ukapata wakati hufai kuwakilisha wananchi na unajua umeenda kwa egos zako binafsi ni ukichaaa

Sent from my SM-G9350 using JamiiForums mobile app
 
Hakika 😍😍
 
Back
Top Bottom