#COVID19 Leo ni siku ya Afya ya Akili, Je Watanzania tutumie chanjo ya Corona kama kipimo cha utimamu wetu?. Wapinga chanjo, sio wazima! Je ni vichaa?

Grandiosity....

Grandier delusion.....

Ni ukichaa....

Nao ni ukichaa.....

Kupenda KUONEKANA wewe ni wa umuhimu sana kushinda wengine ....wengine wote....nao ni ukichaa......
 
Baada ya pambano kati ya waliochanjwa na wasiochanjwa litafuata pambano kati ya waliochanjwa j&j na wale watakaochanja mzigo wa kichina.
 
Baada ya pambano kati ya waliochanjwa na wasiochanjwa litafuata pambano kati ya waliochanjwa j&j na wale watakaochanja mzigo wa kichina.
 
Kwahiyo kama wewe ukishindwa kuelewa kitu maanake hakieleweki?!
 
 

Attachments

  • IMG_0596.MP4
    2.5 MB
Zimetengenezwa chato Mkuu na si kwa BEBERUS ndiyo sababu wanameza 😜😜😜

Unamkuta mtu anaipinga CHANJO dhidi ya CORONA kwa kigezo kuwa zinatoka ULAYA kwa mabeberu....huku kila siku akimeza TEMBE DHIDI YA VIRUSI VYA UKIMWI....sasa sijui hizo tembe zinatengenezwa Lushoto Tanga?!!! 🀣
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…