WALOLA VUNZYA
JF-Expert Member
- Nov 20, 2020
- 7,154
- 7,155
Demokrasia ni maisha yanayofuata utaratibu na siyo kuishi kiholela.Tafsiri yako hiyo inaamanisha 'Ujamaa' sio 'demokrasia'
Demokrasia ni uhuru usio na udhibiti kila mmoja anachokiwaza kufanya ni ruksa lakini ujamaa unazingatia maadili na anayekiuka huchuliwa hatua kali kwa mjibu wa sheria.