WALOLA VUNZYA
JF-Expert Member
- Nov 20, 2020
- 7,154
- 7,155
Demokrasia ni maisha yanayofuata utaratibu na siyo kuishi kiholela.Tafsiri yako hiyo inaamanisha 'Ujamaa' sio 'demokrasia'
Demokrasia ni uhuru usio na udhibiti kila mmoja anachokiwaza kufanya ni ruksa lakini ujamaa unazingatia maadili na anayekiuka huchuliwa hatua kali kwa mjibu wa sheria.
Hata wasemeje hakuna hata mmoja atafuta mazuri ya JPM kwenye ufahamu wangu, alafu ni aibu sana kundi kubwa sana la watu wanatumia nguvu kubwa kujaribu kumchafua maiti asiye na uwezo wa kuamka kujibu lolote, Jpm kama alikuwa muovu kiasi hicho basi uovu wake tulikuwa tuna uhitaji watanzania wengi sana. RETURN IF POSSIBLE FATHERView attachment 2577791
Kanuni namba moja ya watu wenye wivu
Miaka miwili baadae, bado tu wanajaribu.
Wazungu wanamsemo ‘learn when to quit’.
Huyo mtu aliewahi kuishi Tanzania, mazuri yake ayawezi funikwa hasa kipindi hiki ambacho watanzania waliohai na akili zao timamu baada ya kuuona uongozi wake.
Busara ni kufanya yenu, mkubalike au mchukiwe kwa matunda ya kazi.
Magufuli kila siku inatosha, huo uongo watanzania walio wengi wameukataa.
Kwa hiyo vipi mnavyosema magufuli aliua watu wengi mbona wewe hujauliwa? ni sawa na mfano uliotoa hapo juu tunazidi kuyatunza maneno yenu wanafiki wa hii nchi!!!!!!!Weka majina ya watanzania waliokufa na njaa kwa sababu ya bei!! Otherwise ni mihemuko tu na kukariri maneno kama kasuku!
Mbona wewe mwenyewe hujafa njaa
Kama Magufuli angeendelea kuwa hai, pengine kufika leo angekuwa kisha muua baba yako, sidhani kama ungeandika pumba hizoKwa hiyo vipi mnavyosema magufuli aliua watu wengi mbona wewe hujauliwa? ni sawa na mfano uliotoa hapo juu tunazidi kuyatunza maneno yenu wanafiki wa hii nchi!!!!!!!
Bado hujui chochote bwege wewe endelea kukaririshwa!!!Kama Magufuli angeendelea kuwa hai, pengine kufika leo angekuwa kisha muua baba yako, sidhani kama ungeandika pumba hizo
Bwege ni baba yako aliyezaa na malaya mtoto anaitwa baraka Marando . Mtoto mwenyewe anachojuwa ni matusi tu aliyorithi kwa baba bwege na mama malayaBado hujui chochote bwege wewe endelea kukaririshwa!!!
Pole sana!!!!!Bwege ni baba yako aliyezaa na malaya mtoto anaitwa baraka Marando . Mtoto mwenyewe anachojuwa ni matusi tu aliyorithi kwa baba bwege na mama malaya
Ukiambiwa uwataje utatuletea hadithi za viroba ufukweni.
Muuaji gani wa kisiasa duniani anauwa raia wasio na hatia kwakwe. If anything ma dictator wao ungaika na wanasiasa ambao tishio kwao au vyombo vya habari.
Hakuna hizo familia zilizopoteza watu kwa amri ya Magufuli; with exception to Tundu Lissu (ambae alikuwa anaingilia Issue za national interest), Eric Kabendera ambae alikuwa akilipwa na mabeberu kuichafua serikali.
Mengine hadithi tu na kama yalikuwa yakifanyika sio kwa ridhaa yake, ata leo ukimzingua Bi Tozo kuna watu watakuzingua na si ajabu ukapoteza maisha bila ya yeye kujua wala kuwatuma; akabaki kushangwaza tu kama mtu mwingine be it lawama atatupiwa yeye.
Ndiyo maana Magufuli aliitwa DIKTETA UCHWARA kwa vile allikuwa anapoua ana acha traces. Alikuwa hana akili ya ku deal na opposition au critiques, aliamini katika kutumia vyombo vya dola kushinikiza. Akasahau vyombo vya dola siyo mali yake.Ukiambiwa uwataje utatuletea hadithi za viroba ufukweni.
Muuaji gani wa kisiasa duniani anauwa raia wasio na hatia kwakwe. If anything ma dictator wao ungaika na wanasiasa ambao tishio kwao au vyombo vya habari.
Hakuna hizo familia zilizopoteza watu kwa amri ya Magufuli; with exception to Tundu Lissu (ambae alikuwa anaingilia Issue za national interest), Eric Kabendera ambae alikuwa akilipwa na mabeberu kuichafua serikali.
Mengine hadithi tu na kama yalikuwa yakifanyika sio kwa ridhaa yake, ata leo ukimzingua Bi Tozo kuna watu watakuzingua na si ajabu ukapoteza maisha bila ya yeye kujua wala kuwatuma; akabaki kushangwaza tu kama mtu mwingine be it lawama atatupiwa yeye.
Alikua anafanya ugaidi au alikua anadili na magaidi na fisadi kwenye kikosi maalum? Kutumwa na rais kwa kazi maalum mbona kawaida tu na sio kinyume cha katiba. Fisadi mliyoshughulikiwa ndio muda wenu sasa chini ya msaliti samia.Sabaya alikuwa anatamba kwamba misheni zake alikuwa anatumwa na jiwe. Leo amekiri, kwa hakika ni siku ya aibu sana kwa utawala wa Hayati Magufuli.
Mimi kama mfuasi wa Jiwe, Leo nimekuwa na siku mbaya sana baada ya Sabaya kukiri uhalifu mbele ya mahakama. Alikuwa anafanya uhalifu na kikosi kazi kwa Kibali Cha JPM
Vibaka zama zenu zimekwisha, hata choo hamjajenga, mmeishia kukaririshwa propagandaAlikua anafanya ugaidi au alikua anadili na magaidi na fisadi kwenye kikosi maalum? Kutumwa na rais kwa kazi maalum mbona kawaida tu na sio kinyume cha katiba. Fisadi mliyoshughulikiwa ndio muda wenu sasa chini ya msaliti samia.
Hakuna cha kusingiziwa kwanza Sabaya alionewa sana kwa sababu watu wa kariba yake walibaki uraiani wakitamba mfano:-Makonda,Mnyeti,Musiba,Bashir Ally,Polepole,Gambo,Kihongosi,Homera,Heri James nk.Hata Kama Ni Wewe Utashindwa Kumsingizia Marehemu ili Uachiwe..
Jibu baya kuwahi kutokea,ni aibu mtu kushabikia mauaji.Alikua anafanya ugaidi au alikua anadili na magaidi na fisadi kwenye kikosi maalum? Kutumwa na rais kwa kazi maalum mbona kawaida tu na sio kinyume cha katiba. Fisadi mliyoshughulikiwa ndio muda wenu sasa chini ya msaliti samia.
Kwani utawala wa sheria dhana yake ni nini? Huo UDIKTETA unaotaka kuutetea hapa una mapungufu sana. Kwa kuwa mtu mmoja huendesha nchi kadri ya hisia zake zinavyomtuma. Unaona mambo aliyokuwa anafanya Magufuli? Kama kusitisha mikataba ya madini kwa vile tu amejisikia. Sasa hivi kuna mashauri kama 3 huko ICSD. Hata kama Demokrasia ina mianya lakini ndiyo utawala wa kistaarabuKwa nchi hii UDIKTETA ni Muhimu Sana Kutokana Aina ya kizazi kilichopo.
Hivi jaribu kutafakari mtu amepewa dhamana anaruhusu kuingizwa Kwa Sumu au DAWA zilizokwisha muda wake na zinawaua Wananchi wasio na hatia unadhani huyu anastahili adhabu gani? Haya tuseme akamatwe apelekwe Mahakamani na afungwe jela. INAWEZEKANA??
KUNA MAUAJI NA UDIKTETA MKUBWA UNAFANYIKA UKIWA UMEMEFICHWA KWENYE KOTI LA DEMOKRASIA NA HAKI ZA BINADAMU LAKI KWA UPANDE MWINGINE NI NAFUU KABISA HATA WALE WANAOFYEKWA HADHARANI KWA RISASI.
HAWA MAFISADI,WASIMAMIZI WA HIKI NA WATOA HUDUMA MBALIMBALI ZA UMMA WANAOPINDISHA HAKI KWA MASLAHI YAO BINAFSI UNADHANI WANASTAHILI ADHABU GANI?
mbona we uko hai unajijambia hapo?Uhalifu unaofanywa na awamu ya sita ni mbaya zaidi kuliko kipindi cha sabaya maana kwa sasa wtz wengi wanakufa kwa njaa inayotokana na kupandisha bei ya vyakula hovyohovyo akisaidiwa ba chawa wake