Leo ni Siku ya Babu na Wajukuu......Karibuni!

We dogo tafuta mwingine, huyu ni Mjukuu Mtiifu kwa Babuye

hebo soma signecha yake kwa ufafanuzi zaidi.

Babu, huyu n-jukuu kaniletea maua ya waridi mazuri rangi nyeupe na nyekundu sasa na mimi nalipiza kwa shairi.

Halafu we babu nishakueleza achana na wajukuu warembo, chukua wale wenye sura ka maharage yaliyoungulia tu
 
Babu wajukuu nao unawagawa kwa makundi yani wako unaowajali na kuwakumbuka na kuna sisi wa kambo au wa kufikia? Nakuombea hiyo dhambi ya kututenga ikutoke
 
Happy Valentine X-mchumba!

Hivi babu una maX wangapi?!! Hivi kweli ulianzaje-anzaje kumrubuni mrembo kama huyu?? Nitakuripoti ABYUZ kama utajifanya kidume cha mbegu wakati kumbe ni kibabu cha kababu
 
Babu nitachelewa kufika, usininyime pipi ehh
nitakuletea karanga babu ili ukomaze meno.
Japo unamtaka mmoja wa kunywa mvinyo itabidi utoke upokee karanga.
 
Yessssss babu yani umeniiiii furahisha sana please naomba niwe wako wa mvinyo na kila kindo
 
Babu, huyu n-jukuu kaniletea maua ya waridi mazuri rangi nyeupe na nyekundu sasa na mimi nalipiza kwa shairi.

Halafu we babu nishakueleza achana na wajukuu warembo, chukua wale wenye sura ka maharage yaliyoungulia tu
We dogo unajitafutia kufariki dunia?

Babu wajukuu nao unawagawa kwa makundi yani wako unaowajali na kuwakumbuka na kuna sisi wa kambo au wa kufikia? Nakuombea hiyo dhambi ya kututenga ikutoke
Nimekosa mimi, nimekosa mimi, nimekosa sana. Karibu nyumbani kwa babu ewe mjukuu wangu unayejali bila malipo...Carefree.....!

Hivi babu una maX wangapi?!! Hivi kweli ulianzaje-anzaje kumrubuni mrembo kama huyu?? Nitakuripoti ABYUZ kama utajifanya kidume cha mbegu wakati kumbe ni kibabu cha kababu
We dogo mbona unafuatilia maslahi ya babu namna hii? You have been warned!
 
The Following User Says Thank You to The Finest For This Useful Post:
Lizzy (Today)

Mhhhh it's as if you were reading my mind!!!Tukimaliza tunaenda kupunga upepo baharini kidogo!!!:coffee:
Ohooo!!! Yes
 
Basi naja na kwa kuwa umechelewa kunikaribisha nikija unipendelee japo nikuchumu kwenye upara kisha nikugee kifuko cha miwa kwani roses zimekwisha zilizobaki ni za zambarau
 
Basi naja na kwa kuwa umechelewa kunikaribisha nikija unipendelee japo nikuchumu kwenye upara kisha nikugee kifuko cha miwa kwani roses zimekwisha zilizobaki ni za zambarau

Umefika wapi? Nakusubiri hapa.:clap2::clap2:
 
Hili li-sredi limekaa kibepari, kikabaila na mbaya zaidi kubeberu

Selfish is aspirining! and is below expectations

am out!
 
Hili li-sredi limekaa kibepari, kikabaila na mbaya zaidi kubeberu

Selfish is aspirining! and is below expectations

am out!

.................................................. ..Inauma sana aisee.................................................. ...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…