Sorry Babu nimesoma vizuri au nimekosea tuna kesi??Nyie watu mna kesi ya kujibu!
Nyie watu mna kesi ya kujibu!
Basi naja na kwa kuwa umechelewa kunikaribisha nikija unipendelee japo nikuchumu kwenye upara kisha nikugee kifuko cha miwa kwani roses zimekwisha zilizobaki ni za zambarau
Umefika wapi? Nakusubiri hapa.:clap2::clap2:
Kwenu wajukuu zangu wote,
Babu loves you allΒ Β .ila ninamhitaji mmoja....atakayewahi.... wa kunikata kucha, kunilisha ugoro, kuniletea mkongojo na kunibembelezaΒ ..Nani anatajitolea kunywa mvinyo na babu, siku hii maalum ya kupendana?
Je ni Festiledi Au Arusha kwa Preta?
Je ni Waisiledi au Birungi utanΒvuta?
Jee ni Elo Dii, au Jei Esi waniita?
Michelle wa juhudi, au Askofu ntak'kuta?
Mwanajamii wani, Afrodenzi unataka?
Lizzy ninakutamani, Desidii uhakika,
Au wewe Gaijin, Dena mimi nakutaka,
Lili flawa namba wani, Pearl usiwe na shaka.
DaMie na Lovenesi, Maty ninakupigia,
Niliham sina wasi, Leney nakwaminia,
Njoo kwangu we Smiles, Rose utanipatia,
Nyamayao usihasi,Roselyline nangojea
Kwini kami natamani, Remi ninakungojea,
Regia uko bungeni, waweza kwangu pitia,
Carmel wangu wa moyoni, Cheusi wanivutia,
Hata wewe Dalingtoni, wajukuu wote pia.
Kwenu nyie wapwa zangu,
Msione wivu kwangu,
Hawa wajukuu zangu,
Babu nimejisevia.
Hawa kwao nina nia,
Moyoni kwangu fungia,
Haja yangu kutimia,
Valentine niwe nao.
Narudi kitandani kumsubiri mjukuu atakayewahi!
Happy ValentineΒs day kwa wajukuu na wanachama wote hai wa JF jukwaa la MMU!
:hippie::lalala::A S-heart-2::A S kiss::A S thumbs_up::clap2::drum::msela::bange::welcome::welcome:
I will be the first Babu.
Nani tena anakuchokoza my Love the nurse? πopcorn:haa!!!!! babu vipi tena hiyo kesi imefunguliwa mahakama ipi? na ni nani aliyetuonea wivu mie nawewe? he mwambie simuogopi hata!! labda aje KIMEY ndio nitasarenda :A S thumbs_down:
Mh Vivian sijakuona siku nyingi,tangu ile thread ya avatar za kinadada!!! nahisi una siku zako maalum....l.o.l
Happy Valentine!!!!
Mwalimu nimekutafuta kule kwenye Stress nikupe Valentine yangu cjamkuona!! Happy Valentine Mwalimu!Happy Valentine guys
Note: guest house kwetu ni dharau tayarisheni mitoko kwenye hoteli zenye majina
π
Dada yangu wewe mtata sana unajua?
Mwalimu nimekutafuta kule kwenye Stress nikupe Valentine yangu cjamkuona!! Happy Valentine Mwalimu!
Hapo kwenye RED naona unataka kuanzisha thread ndani ya thread mi ngoja ninywe :coffee:
Mwalimu nimekutafuta kule kwenye Stress nikupe Valentine yangu cjamkuona!! Happy Valentine Mwalimu!
Hapo kwenye RED naona unataka kuanzisha thread ndani ya thread mi ngoja ninywe :coffee:
Unajua athari gani imenipata kwa Post yaki hii dada Remi? Nitafute mtaa wa pili kule.Asante sana babu
kwa kuningojea
hakika nitafika
ua nimelibeba
chokulate mdomoni
kuiweka,
na busu matata kukupatia
lazima niwe wa kwanza kufika.
mkongojo kuubeba,
na ugoro kukunusisha.
Mhhh,
Huyu babu anatisha kama Osama..Naamini aliumbwa siku yake peke yake!