Leo ni Siku ya Babu na Wajukuu......Karibuni!

Leo ni Siku ya Babu na Wajukuu......Karibuni!

mmmmnh yaani hata mie nimesahaulika...ama kuna wajukuu wa ndani na wa nje jamani!!! Umesahau wakukufunika blanketi basi!!!
 
Nyie watu mna kesi ya kujibu!

haa!!!!! babu vipi tena hiyo kesi imefunguliwa mahakama ipi? na ni nani aliyetuonea wivu mie nawewe? he mwambie simuogopi hata!! labda aje KIMEY ndio nitasarenda :A S thumbs_down:
 
Basi naja na kwa kuwa umechelewa kunikaribisha nikija unipendelee japo nikuchumu kwenye upara kisha nikugee kifuko cha miwa kwani roses zimekwisha zilizobaki ni za zambarau

Polee1!!! ila ukija utanikuta hivyo mie ndio nitapokea kifuko cha miwa ,na kukagua kabla babu haja onja. poa?
 
Kwenu wajukuu zangu wote,

Babu loves you all…….ila ninamhitaji mmoja....atakayewahi.... wa kunikata kucha, kunilisha ugoro, kuniletea mkongojo na kunibembeleza…..Nani anatajitolea kunywa mvinyo na babu, siku hii maalum ya kupendana?

Je ni Festiledi Au Arusha kwa Preta?
Je ni Waisiledi au Birungi utan’vuta?
Jee ni Elo Dii, au Jei Esi waniita?
Michelle wa juhudi, au Askofu ntak'kuta?

Mwanajamii wani, Afrodenzi unataka?
Lizzy ninakutamani, Desidii uhakika,
Au wewe Gaijin, Dena mimi nakutaka,
Lili flawa namba wani, Pearl usiwe na shaka.

DaMie na Lovenesi, Maty ninakupigia,
Niliham sina wasi, Leney nakwaminia,
Njoo kwangu we Smiles, Rose utanipatia,
Nyamayao usihasi,Roselyline nangojea

Kwini kami natamani, Remi ninakungojea,
Regia uko bungeni, waweza kwangu pitia,
Carmel wangu wa moyoni, Cheusi wanivutia,
Hata wewe Dalingtoni, wajukuu wote pia.

Kwenu nyie wapwa zangu,
Msione wivu kwangu,
Hawa wajukuu zangu,
Babu nimejisevia.

Hawa kwao nina nia,
Moyoni kwangu fungia,
Haja yangu kutimia,
Valentine niwe nao.

Narudi kitandani kumsubiri mjukuu atakayewahi!

Happy Valentine’s day kwa wajukuu na wanachama wote hai wa JF jukwaa la MMU!
:hippie::lalala::A S-heart-2::A S kiss::A S thumbs_up::clap2::drum::msela::bange::welcome::welcome:

I will be the first Babu.
 
Wajukuu zako wote ni bla bla tupu hakuna hata dhawadi kwa babu, nimechelewa lakini nimekuwa wa kwanza kumpa babu dhawadi, nakutakia siku njema ila leo nimeona nijitoe maana wajukuu vijana wanakuja kwa kasi si wazee ngoja tujiweke pembeni kwandha.
 
haa!!!!! babu vipi tena hiyo kesi imefunguliwa mahakama ipi? na ni nani aliyetuonea wivu mie nawewe? he mwambie simuogopi hata!! labda aje KIMEY ndio nitasarenda :A S thumbs_down:
Nani tena anakuchokoza my Love the nurse? 😛opcorn:
 
Happy Valentine guys

Note: guest house kwetu ni dharau tayarisheni mitoko kwenye hoteli zenye majina

🙂
 
Asante sana babu
kwa kuningojea
hakika nitafika
ua nimelibeba
chokulate mdomoni
kuiweka,
na busu matata kukupatia
lazima niwe wa kwanza kufika.
mkongojo kuubeba,
na ugoro kukunusisha.
 
Happy Valentine guys

Note: guest house kwetu ni dharau tayarisheni mitoko kwenye hoteli zenye majina

🙂
Mwalimu nimekutafuta kule kwenye Stress nikupe Valentine yangu cjamkuona!! Happy Valentine Mwalimu!
Hapo kwenye RED naona unataka kuanzisha thread ndani ya thread mi ngoja ninywe :coffee:
 
Mhhh,

Huyu babu anatisha kama Osama..Naamini aliumbwa siku yake peke yake!
 
Mwalimu nimekutafuta kule kwenye Stress nikupe Valentine yangu cjamkuona!! Happy Valentine Mwalimu!
Hapo kwenye RED naona unataka kuanzisha thread ndani ya thread mi ngoja ninywe :coffee:

ha ha ha ha,nimemsoma.....kazi kweli kweli!!!:laugh::laugh::laugh:
 
Kimey Hilo mbona lishajadiliwa hapa na tukakubaliana kuwa ni hivyo! 🙂))

Siku hizi mambo kidogo yamekuwa tight mkoloni anamatatizo na mke nyumbani!
Asante kwa salam...... Kuchakachuana kwa aste aste
Mwalimu nimekutafuta kule kwenye Stress nikupe Valentine yangu cjamkuona!! Happy Valentine Mwalimu!
Hapo kwenye RED naona unataka kuanzisha thread ndani ya thread mi ngoja ninywe :coffee:
 
Wajukuu zako wote ni bla bla tupu hakuna hata dhawadi kwa babu, nimechelewa lakini nimekuwa wa kwanza kumpa babu dhawadi, nakutakia siku njema ila leo nimeona nijitoe maana wajukuu vijana wanakuja kwa kasi si wazee ngoja tujiweke pembeni kwandha.

Aisee wee Maty!

Babu kwishalegea hapa wallah!
 
asante babu kwa ruhusa
na nikirudi sitakususa
kwa umakini nitajilinda
wasije mangumi kunidunda.
 
Asante sana babu
kwa kuningojea
hakika nitafika
ua nimelibeba
chokulate mdomoni
kuiweka,
na busu matata kukupatia
lazima niwe wa kwanza kufika.
mkongojo kuubeba,
na ugoro kukunusisha.
Unajua athari gani imenipata kwa Post yaki hii dada Remi? Nitafute mtaa wa pili kule.

Mhhh,

Huyu babu anatisha kama Osama..Naamini aliumbwa siku yake peke yake!

Hahaha........babu mdogo, kazi yetu ni kuwalea hawa wajukuu wasipotee njia.
 
Back
Top Bottom