Leo ni Siku ya Babu na Wajukuu......Karibuni!

Mjukuu naomba tu nikutakie Valentino njema bana ingawa babu leo kawa mkali kwa wajukuu wake!!
Aksante Babu nawe pia...................mie alishanidisown zamani hadi akanibatiza jina la Mtukutu sasa nimeadaptiwa na Babu mwengine mwenye huruma kanipendezesha na kuninawirisha yeye anaanza kuleta za kuleta.................... mie wa kambo siku hizi. Lol
 
Mwanajamii wani, Afrodenzi unataka?
Lizzy ninakutamani, Desidii uhakika,
Au wewe Gaijin, Dena mimi nakutaka,
Lili flawa namba wani, Pearl usiwe na shaka.

Siamini kama na mimi nimo.

Happy Valentine Babu.

Unaendelea kuongoza mpaka sasa!!
 
Hivi nyie watu...umeme huu mnaouchoma hapa kwenye hii thread mngeielekeza kwa mkoloni si tungekuwa tunamkaribia Mchina?? (.hapa natafuta kesi ........valentinosis mbaya!!)

Na kweli huo ugomvi wewe shauri yako mie nimeichelewa kweli hii thread
 
Asante sana babu.Mjukuu wako leo anasherehekea Valentine kwa furaha kubwa.Furaha ya kuwa Waziri Kivuli wa Kazi na Ajira..

Nitakupitia nikitoka mjengoni kama ulivyopendekeza.

With Love
Regia
 
Asante sana babu.Mjukuu wako leo anasherehekea Valentine kwa furaha kubwa.Furaha ya kuwa Waziri Kivuli wa Kazi na Ajira..

Nitakupitia nikitoka mjengoni kama ulivyopendekeza.

With Love
Regia

Hongera sana mheshimiwa binafsi nakutakia kila la kheri na mafanikio, piga kazi tuone matokeo.

Regards,

Mohammed Hamad Shossi
 
Asante sana babu.Mjukuu wako leo anasherehekea Valentine kwa furaha kubwa.Furaha ya kuwa Waziri Kivuli wa Kazi na Ajira..

Nitakupitia nikitoka mjengoni kama ulivyopendekeza.

With Love
Regia
Hongera Muheshimiwa..
Hapo kwenye RED at least now I have a shoulder to cry on....:clap2::clap2:
 
Asante sana babu.Mjukuu wako leo anasherehekea Valentine kwa furaha kubwa.Furaha ya kuwa Waziri Kivuli wa Kazi na Ajira..

Nitakupitia nikitoka mjengoni kama ulivyopendekeza.

With Love
Regia

What a day? Hongera sana regia tunakuaminia
 
Jamani niungane na babu niwatakie happy valentine wooooote wote kabisa. Enjoy yourselves, responsibly!
 
We dogo unajitafutia kufariki dunia?

Nimekosa mimi, nimekosa mimi, nimekosa sana. Karibu nyumbani kwa babu ewe mjukuu wangu unayejali bila malipo...Carefree.....!

We dogo mbona unafuatilia maslahi ya babu namna hii? You have been warned!

Tuelewane basi babu, naona umenikunjia ndita kama vile mi ndo Rostama Aziza
Hawa warembo kama FL1, MwanajamiiOne, Desidii, Maria Roza, Loveness Love, DaMie, Michelle, Lizzy, Maty, Preta, LD, Lady N niachie mimi halafu wewe nitakuachia dada wa bibi yangu mzaa mama na dada ake bibi mzaa shangazi yangu. Tena bado warembo balaa, wakitema mate yanadunda . . . . yaani utafaidi ugoro balaa, wana roho vigumu hata kama wakikufumania na kikongwe mwenzio wanakusamehe . . . :roll:
 
Mh thijui na mie mjukuu au vipi, hepi valentain dei babu
 
ukijakutana na mie usijebadili jina tu............sikwalifai kwenye kundi la warembo.
 
Mi sina majukuu ya kiume bana......yaani yanambania babu hata kuuza baiskeli yake...eti yanataka nife yapate kuirithi baisko ya babu..
Wakike hawana tabu, wakipewa mali na waume zao wanagawana na babu yao...raha kama nini!!!

ha haaaaaaaaaaaa, baba wa Matesha sikuwezi............. unamfundisha na Matesha hizi tunzi? maana kijana wangu anapenda ssana kuimbiwa, kila mara utamsikia "mummy sing for me" sasa najua itakuwa kazi ya Matesha
Kazi nzuri!
 
Ha ha ha ha hakuna haja ya kuanzisha thread nyingine hii inatosha
 
umeikumbukaje?
Afu ungekuwa mwalimu inaonekana ungekuwa mnoko sana.

Maana mwanafunzi akijitetea tu, unaanza umesahau mwaka juzi ulifanya hivi?

Ha ha ha ha hakuna haja ya kuanzisha thread nyingine hii inatosha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…