Kwenu wajukuu zangu wote,
Babu loves you all
.ila ninamhitaji mmoja....atakayewahi.... wa kunikata kucha, kunilisha ugoro, kuniletea mkongojo na kunibembeleza
..Nani anatajitolea kunywa mvinyo na babu, siku hii maalum ya kupendana?
Je ni Festiledi Au Arusha kwa Preta?
Je ni Waisiledi au Birungi utanvuta?
Jee ni Elo Dii, au Jei Esi waniita?
Michelle wa juhudi, au Askofu ntak'kuta?
Mwanajamii wani, Afrodenzi unataka?
Lizzy ninakutamani, Desidii uhakika,
Au wewe Gaijin, Dena mimi nakutaka,
Lili flawa namba wani, Pearl usiwe na shaka.
DaMie na Lovenesi, Maty ninakupigia,
Niliham sina wasi, Leney nakwaminia,
Njoo kwangu we Smiles, Rose utanipatia,
Nyamayao usihasi,Roselyline nangojea
Kwini kami natamani, Remi ninakungojea,
Regia uko bungeni, waweza kwangu pitia,
Carmel wangu wa moyoni, Cheusi wanivutia,
Hata wewe Dalingtoni, wajukuu wote pia.
Kwenu nyie wapwa zangu,
Msione wivu kwangu,
Hawa wajukuu zangu,
Babu nimejisevia.
Hawa kwao nina nia,
Moyoni kwangu fungia,
Haja yangu kutimia,
Valentine niwe nao.
Narudi kitandani kumsubiri mjukuu atakayewahi!
Happy Valentines day kwa wajukuu na wanachama wote hai wa JF jukwaa la MMU!
:hippie::lalala::A S-heart-2::A S kiss::A S thumbs_up::clap2::drum::msela::bange::welcome::welcome: