Babu ni kibogoyo, mifupa ataiwezea wapi? Senksi binamu.Babu mie nitakusaidia mkongojo wako na kukupaka mafuta mgongoni
Najua babu ww kibogoyo ,najua babu wewe huwezi kula mifupa
Happy Valentine day Asprin
Kimey hangover inakusumbua,mi mbona nilishwahi au huoni?
HAPPY VALENTINE!!!!
Huyu kibabu sema tu mimi sijachukua jukumu la kumfuatia huo ugoro wake maana ningemchanganyia na kitu cha Arusha au Malawi
lazima angezima tu na kitambi chake cha supu ya mdudu.....l.o.l
Ngoja lakini kibabu leo lazima ile kwakelazima angezima tu na kitambi chake cha supu ya mdudu.....l.o.l
dah! What a way to start a valentine day!
Being denied in a public........:a s 20:
Babu umegeuka Adolf HitlerAisee nyie madogo mnataka kuniharibia mazima?
I would have denied you provately but since you also denied me in public its good i deny you in public......
Again,Happy Valentine Hashycool,me loves you still!!!
Dalili ya kupata kaugoro toka kwa huyu mjukuu zinaanza kufifia....lol
Happy Valentine to you too my Dia,Kimey hangover inakusumbua,mi mbona nilishwahi au huoni?
HAPPY VALENTINE!!!!
Michelle hebu nisomee hii sentensi hapa chini kwa kiswahili:Babu uwe na amani kabisaa,nilikosea mwanzo nilikuwa simuelewi ila sasa hana meno tena,nimemuacha na mipango ya kando yake,niko kivyangu kabisaa na biashara zangu na yule mjukuu niliomleta asojua kiswahili,yule ndo mamabo yote kwa sasa......l.o.l
Furaha yako na izidi Babu Aspirin......:laugh::laugh::laugh:
Happy Valentine Asprin and all ya'
Mie nachie Preta, japo mbili dakika
nimpatie flowers, na kikubwa kitita
nimpe na pia na power, ya kuchagua kiota
tuende na kwenye tower, hapahapa Arusha
i would have denied you provately but since you also denied me in public its good i deny you in public......
again,happy valentine hashycool,me loves you still!!!
Babu nakutamani kama biriani. Wajukuu hawana makuu watakudu hadi uwe bluu. Aaah niko Kigoma ningekuja kukuona. Happy Valentine lovely babu.
Michelle hebu nisomee hii sentensi hapa chini kwa kiswahili:
The Following User Says Thank You to Michelle For This Useful Post:
Asprin (Today
birungi nimewahi,ila naenda mahali
nipo nawasiwasi,leo niende kwa nani,
babu leo subiri,takuja kesho alfajiri,
hepi valentini,kwako babu aspirini
mmoja kaleta maua,na kadi ya mualiko
twende new afrika,tukale kuku na mvinyo
ahadi sitachelea,kuahirisha ni mwiko
mi kule ntajiendea,ntakuja kwako kesho
upendo uko palepele,tena ntazidisha sana
ntakupa vitu tele,kila kitu utajichana,
kila aina ya mchele,na nyama utatafuna
kwa leo uvumilie,chukua regia au preta.