Leo ni Siku ya Babu na Wajukuu......Karibuni!

Leo ni Siku ya Babu na Wajukuu......Karibuni!

Babu mie nitakusaidia mkongojo wako na kukupaka mafuta mgongoni
Najua babu ww kibogoyo ,najua babu wewe huwezi kula mifupa
Happy Valentine day Asprin
Babu ni kibogoyo, mifupa ataiwezea wapi? Senksi binamu.

Kimey hangover inakusumbua,mi mbona nilishwahi au huoni?

HAPPY VALENTINE!!!!

Michelle nakuambia,
Yo Kimei potezea,
mambo atuvurugia,
Apate pa kuchekea.
 
dah! What a way to start a valentine day!
Being denied in a public........:a s 20:

I would have denied you provately but since you also denied me in public its good i deny you in public......

Again,Happy Valentine Hashycool,me loves you still!!!
 
I would have denied you provately but since you also denied me in public its good i deny you in public......

Again,Happy Valentine Hashycool,me loves you still!!!

Dalili ya kupata kaugoro toka kwa huyu mjukuu zinaanza kufifia....lol
 
birungi nimewahi,ila naenda mahali
nipo nawasiwasi,leo niende kwa nani,
babu leo subiri,takuja kesho alfajiri,
hepi valentini,kwako babu aspirini

mmoja kaleta maua,na kadi ya mualiko
twende new afrika,tukale kuku na mvinyo
ahadi sitachelea,kuahirisha ni mwiko
mi kule ntajiendea,ntakuja kwako kesho

upendo uko palepele,tena ntazidisha sana
ntakupa vitu tele,kila kitu utajichana,
kila aina ya mchele,na nyama utatafuna
kwa leo uvumilie,chukua regia au preta.
 
Happy Valentine Asprin and all ya'

Mie nachie Preta, japo mbili dakika
nimpatie flowers, na kikubwa kitita
nimpe na pia na power, ya kuchagua kiota
tuende na kwenye tower, hapahapa Arusha
 
Dalili ya kupata kaugoro toka kwa huyu mjukuu zinaanza kufifia....lol

Babu uwe na amani kabisaa,nilikosea mwanzo nilikuwa simuelewi ila sasa hana meno tena,nimemuacha na mipango ya kando yake,niko kivyangu kabisaa na biashara zangu na yule mjukuu niliomleta asojua kiswahili,yule ndo mamabo yote kwa sasa......l.o.l
Furaha yako na izidi Babu Aspirin......:laugh::laugh::laugh:
 
Michelle hebu nisomee hii sentensi hapa chini kwa kiswahili:

The Following User Says Thank You to Michelle For This Useful Post:

Asprin (Today
 
Babu nakutamani kama biriani. Wajukuu hawana makuu watakudu hadi uwe bluu. Aaah niko Kigoma ningekuja kukuona. Happy Valentine lovely babu.
 
Happy Valentine Asprin and all ya'

Mie nachie Preta, japo mbili dakika
nimpatie flowers, na kikubwa kitita
nimpe na pia na power, ya kuchagua kiota
tuende na kwenye tower, hapahapa Arusha

Provocative...

Preta utamkamata,
Bila ya yote matata,
Kama waweza mtafuta,
Naye akukubali
 
i would have denied you provately but since you also denied me in public its good i deny you in public......

again,happy valentine hashycool,me loves you still!!!

this means a universe to me....
Me loves you even more michelle......
 
Babu nakutamani kama biriani. Wajukuu hawana makuu watakudu hadi uwe bluu. Aaah niko Kigoma ningekuja kukuona. Happy Valentine lovely babu.

Chetuntu ahsante sana,
Kwa upendo wako mpana.
Najua huwezi bana,
Kigoma siyo ahera.

Siku ukijisikia,
Nauli ukipatia,
Kwa babu we kimbilia,
Hakika wapokelewa.
 
Michelle hebu nisomee hii sentensi hapa chini kwa kiswahili:

The Following User Says Thank You to Michelle For This Useful Post:

Asprin (Today

Babu kwa kiswahili inasema:
Mtumiaji huyu anasema asante Michelle kwa andiko muhimu alilotuma!!!!umeelewa Babu au nije hapo karibu?:coffee:
 
birungi nimewahi,ila naenda mahali
nipo nawasiwasi,leo niende kwa nani,
babu leo subiri,takuja kesho alfajiri,
hepi valentini,kwako babu aspirini

mmoja kaleta maua,na kadi ya mualiko
twende new afrika,tukale kuku na mvinyo
ahadi sitachelea,kuahirisha ni mwiko
mi kule ntajiendea,ntakuja kwako kesho

upendo uko palepele,tena ntazidisha sana
ntakupa vitu tele,kila kitu utajichana,
kila aina ya mchele,na nyama utatafuna
kwa leo uvumilie,chukua regia au preta.

Nenda huko Nyu Afrika,
Ukapate burudika,
Raha yako kwa hakika,
Furaha kwa babu pia.

Asije kuchakachua,
Moyo akakuvunjia.
Hapo babu ataua,
Mjukuu pigania.

Uwe na siku murua,
Ununue na maua,
Huyo ukampatia,
Akupende mara dufu.
 
Babu kwa kiswahili inasema:
Mtumiaji huyu anasema asante Michelle kwa andiko muhimu alilotuma!!!!umeelewa Babu au nije hapo karibu?:coffee:

Mtumiaji huyo ambaye ni nani? Hebu njoo ninong'oneze.
 
AWWWUUUUUUUUUUUUUUUU, What a nice poem, i love this. Happy valentine babuuuuuuuu
 
Happy Valentine babu Asprini!Kwa breakfast utatumia kinywaji gani?Bia..mbege..gongo?Niambie nikakuletee haraka!
 
Back
Top Bottom