Leo ni Siku ya Babu na Wajukuu......Karibuni!

Li uzi linakimbia kweli sijui pa kuanzia,

Babu wajukuu wote wakimaliza waliochoahidi kukufanyia, mie nitakuwa wa mwisho nikupetipeti mpaka ulale ingawa haikuwa kwenye listi ni adishino.

HAPPY VALENTINE TO YOU ALL
 

Babu yao unazeeka vizuri wewe,
Mababu wengine wakifika umri kama wako wanaanza kupoteza mvuto, wanapoteza kumbukumbu, lakini wewe ni kiboko.
Unashusha mashairi utadhani dogo janja, au ndo mambo ya ugoro?afu cheki ulivyokuwa na kumbukumbu na valentine day, kabla jukuuz na wapwaz hawajaamka we tayari ushawatupia maua ya upendo pale kati.

Upendo wa wajukuuz na wapwaz daima and alwayz kwako.
Happy valentine kwa wanaJF wote.
 
Yaani sis sijui what was i thinking nilipokuwa naandika anyway its just a spelling mistake i meant MKWE leo sijui nina matatizo gani

I know what you are going through!!!
Mbona siku inaisha tu hii bro,worry not,cheer up!!!
 
Enyi watu wote pigeni makofi
Enyi watu wote pigeni makooooofi,
Mpigieni Bwana Mungu wetu,
Mpigieni na Vigelegele.....

Babu loves you too mshikiiiiz!

Enyi watu wote bigeni makofi,
Tumpigieni Mungu,
Pigeni kelele kwa sauti ya shangwee.

Kwa kuwa bwana ni mkuu na mwenye kuogofya,
Yeye ni Mungu mtawala wa milele,
Enyi watu wote pigene makofi.........

talaaaaaa, lalalaaaaaaaaa
 
Li uzi linakimbia kweli sijui pa kuanzia,

Babu wajukuu wote wakimaliza waliochoahidi kukufanyia, mie nitakuwa wa mwisho nikupetipeti mpaka ulale ingawa haikuwa kwenye listi ni adishino.

HAPPY VALENTINE TO YOU ALL
Halafu wewe.....
 
Sikiza wasia wangu usijeachwa mjini
Mshike mkono uzungushe kiunoni
Usingoje valentini utayamshika ugoni
Mapenzi ni pumzi yahitajika duniani
Ukosapo mapenzi wajikuta taabani
Mapezi uwenayo ya awali na zamani
Tena yenye huba uyamwage hadharani

Kumshika kiunoni, Mama yako utaweza?
Siku hii valentini, Si kwa yule wamkaza,
Yoyote anayewini, Upendo unampoza,
Valentini siyo ngono, valentine kupendana.

Wangu leo valentini, Ni matesha mwana wangu,
Nimemuweka moyoni, namwombea wangu Mungu,
Aniweka furahani, Aongeza siku zangu,
Valentine siyo ngono, upendo kuonyeshana
 
Labda kakuandalia bonge la surprise so anakutibua kwanza kabla hajakuweka sawa!

Hajui hata surprise ni nini?? mi sitaki mdhania halafu isiwe....najipa raha mwenyewe!!!
 
Enyi watu wote bigeni makofi,
Tumpigieni Mungu,
Pigeni kelele kwa sauti ya shangwee.

Kwa kuwa bwana ni mkuu na mwenye kuogofya,
Yeye ni Mungu mtawala wa milele,
Enyi watu wote pigene makofi.........

talaaaaaa, lalalaaaaaaaaa

:lalala::lalala::lalala::violin::violin::violin::bange::bange::bange::amen::amen::amen:
 

Fita ni Fita Mura!
 
Li uzi linakimbia kweli sijui pa kuanzia,

Babu wajukuu wote wakimaliza waliochoahidi kukufanyia, mie nitakuwa wa mwisho nikupetipeti mpaka ulale ingawa haikuwa kwenye listi ni adishino.

HAPPY VALENTINE TO YOU ALL

Remove Your Thanks




The Following User Says Thank You to Lily Flower For This Useful Post:

Asprin (Today)​
 

Nampenda mama yangu sisubiri valentini
Sithubu kumfanyia wala kumshika kiunoni
Mapenzi yake hakuna mfanoe duniani
Mapezi ya ndugu zangu nayo si mpaka valentini
Nawapenda kila siku nimewahifadhi moyoni

Babu unazeeka vibaya jiangalie nakuambia
Usipotoshe wajukuu mabaya kuwaambia
Valentine ikiisha wajukuu utawakimbia???
Au ni ujanja wako wa kutaka ofa za bia?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…