Leo ni Siku ya Babu na Wajukuu......Karibuni!

Babu, aomba mambo, kwayake mashairi,
haya nendeni vidogo, babu mukamsitiri,
hachagui mjukuu, mhaya wala mshihiri,
huvitaka na vitukuu, babu yeye jasiri..

Babu, hakuficha siri, ameyasema dhahiri,
wajukuu hapo mukiri, babu nayake dhamiri,
masikini babu fakiri, tandale la kamba hariri,
babu ataka vinjari, pumbule mshipa wa ngiri..

hahahahahaha
 
Teamo anawatakia sherehe njema ya Mtakatifu Valentine Siku ya leo
tar 14/02/2011.

Tuwe na amani

Tuwe watulivu

Tuwahi kurudi nyumbani tukae na familia na watu tunaowapenda
zaidi,naamini kwamba kwa siku ya leo familia yako (wife/husband and
kids) watakuwa wanakuhitaji sana

Kwa wale singles naomba tusiitafsiri vibaya siku hii takatifu....!
tusiigeuze kuwa siku ya kufanya uasherati.Tutakuwa tunapoteza ladha ya
sherehe hii pendwa

MUNGU AWABARIKI SANA


Teamo
 
Lil red dress check...Black heals check but red lipstick will turn me into a clown bwana!
Orait not a problem put any,plus i have reserved table for two i was thinking of having a bottle chilled RED WINE (CHARDONNAY), RED SNAPPER WITH SOME FRENCH FRIES for lunch
 
Wanna accompany us dearest?

I would love to but my brother will not be free.....

you know he is shy!!!naomba mniletee tu lollypop!!!

I want both of you happy today .......l.o.l !!!
 
Orait not a problem put any,plus i have reserved table for two i was thinking of having a bottle chilled RED WINE (CHARDONNAY), RED SNAPPER WITH SOME FRENCH FRIES for lunch

Sweet!!! you go my brother!!
 

wewe Mohamedi Shoshi, Mbishi kama Osama?

Kila siku tunasali, Kwa Mungu twajiombea,
Ukisali jumapili, Jumatatu wezi achia,
Jumanne unasali, hata ijumaa pia,
Ila ipo siku moja, Ya kuswali kwa pamoja.

Isilamu Ijumaa, Wakristu ni Jumapili,
Hii hiwezi zuia, hakuna tena kusali,
Mungu tunamsalia, Siku zote tunaswali,
Ila ipo siku moja, ya kusali kwa pamoja.

Iko hivyo valentini, kila siku twapendana,
Ila kwa utamaduni, Siku moja inafana,
Hatoki mtu kundini, kwenye kupendana,
Siku ya valentini, ni kama siku ishara.
 
Ahsante sana Teamo
Mfalme wa Amani,
Mzee wa Tabenako,
Mzee wa vibua

MSAADA HAUNA RISITI
 
Aisee hili li-useful sredi lilivyokimbia....nashindwa hata pa kuanzia!!
Anyways.....Happy Valentine's babu!! Me loves u very much....
 
Aisee hili li-useful sredi lilivyokimbia....nashindwa hata pa kuanzia!!
Anyways.....Happy Valentine's babu!! Me loves u very much....

Me too...japo unapost Via Mobile.....

U mwema lakini?
 
mbona umekuwa mkali? kuna ulichonyimwa huko uliko?:twitch::twitch:
:laugh::laugh::laugh::laugh:You two guys makes laugh every now and then mmenikumbusha wimbo wa 50 Cent -DO YOU THINK ABOUT ME na ule wa BUSTA RHYMES - I LOVE MY CHICK
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…