Leo ni Siku ya Babu na Wajukuu......Karibuni!

Leo ni Siku ya Babu na Wajukuu......Karibuni!

Asprin

JF-Expert Member
Joined
Mar 8, 2008
Posts
68,223
Reaction score
96,083
Kwenu wajukuu zangu wote,

Babu loves you all…….ila ninamhitaji mmoja....atakayewahi.... wa kunikata kucha, kunilisha ugoro, kuniletea mkongojo na kunibembeleza…..Nani anatajitolea kunywa mvinyo na babu, siku hii maalum ya kupendana?

Je ni Festiledi Au Arusha kwa Preta?
Je ni Waisiledi au Birungi utan’vuta?
Jee ni Elo Dii, au Jei Esi waniita?
Michelle wa juhudi, au Askofu ntak'kuta?

Mwanajamii wani, Afrodenzi unataka?
Lizzy ninakutamani, Desidii uhakika,
Au wewe Gaijin, Dena mimi nakutaka,
Lili flawa namba wani, Pearl usiwe na shaka.

DaMie na Lovenesi, Maty ninakupigia,
Niliham sina wasi, Leney nakwaminia,
Njoo kwangu we Smiles, Rose utanipatia,
Nyamayao usihasi,Roselyline nangojea

Kwini kami natamani, Remi ninakungojea,
Regia uko bungeni, waweza kwangu pitia,
Carmel wangu wa moyoni, Cheusi wanivutia,
Hata wewe Dalingtoni, wajukuu wote pia.

Kwenu nyie wapwa zangu,
Msione wivu kwangu,
Hawa wajukuu zangu,
Babu nimejisevia.

Hawa kwao nina nia,
Moyoni kwangu fungia,
Haja yangu kutimia,
Valentine niwe nao.

Narudi kitandani kumsubiri mjukuu atakayewahi!

Happy Valentine’s day kwa wajukuu na wanachama wote hai wa JF jukwaa la MMU!
:hippie::lalala::A S-heart-2::A S kiss::A S thumbs_up::clap2::drum::msela::bange::welcome::welcome:
 
Babu nitakusaidia kwenye ulinzi maana naona watakuwa wengi kwahiyo wanahitaji ulinzi
 
Siamini babu kamsahau kijukuu :A S 20::A S 20::A S 20::A S 20: ngoja niende jukwaa langu
 
Babu Aspirin,HAPPY VALENTINE, me loves you!!
Mimi nitakukata kucha na kukupa ugoro leo........:laugh::laugh:
 
Babu mi naenda sokoni kukuongezea ugoro..

happy valentine gran..
 
Siamini babu kamsahau kijukuu :A S 20::A S 20::A S 20::A S 20: ngoja niende jukwaa langu

Maria Roza jamani, Mbona babu wamliza,
Sijakusahau hani, Wee wangu dada Roza,
Ingia kwangu moyoni, Babu aakuliwaza
Withi siriazi noti, Hepi valentan dei!
 
umeanza kunihribia....anyway pamoja na unoko wao kamata hii:

the following user says thank you to hashycool for this useful post:

(babu) asprin (today)

l.o.l......aaaarrrghh we tatizo hujali feelings za wajukuu wako wa kiume!
 
Back
Top Bottom