Ikiwa leo ni maadhimisho siku ya Bloggers,
Binafsi Blogger ambaye namkubali ni Millard Ayo. Kabadilisha sana industry ya Blogging Tanzania na kuifanya iheshimike
Hata kwenye upande wa 'Maokoto' Millard amefanya watu wengi wawe inspired kuanzisha Blogs kwa sababu waliona kuna fursa ya wao kupata mkate wao wa kila siku
Nyie wenzagu mnamkubali Blogger yupi Tanzania?